Jinsi ya kutumia whatsap mbili kwenye simu moja

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
271
Reaction score
279
habari wana group, nimeona post nying hapa za jinsia ya kutumia whasap mbili kwenye simu moja,
INAWEZEKANA, fuata maelezo
ingia play store, then search disa kisha install
Ikimaliza fungua disa then agree the terms of service and privacy
itakuletea setting kwachini kidogo bonyeza add service, kuna text, facebook na whatsap, bonyeza whatsap, itaanza kudownload plugins, ikimaliza bonyeza restart.
kisha kwa juu bonyeza whtasap setting needed, ikikwambia uninstall the official whatsap...... bonyeza skip,
hapa ingiza jina na namba ya simu(usijaribu kuingiza namba ambayo inatumika kwenye ile whatsap ya kawaida itakusumbua), baada ya hapo itakuletea verification bonyeza via sms, kuna sms itakuja kwenye hii namba uliyoingiza copy hiyo whatsap code iliyokuja paste pale kwenye disa kisha submit

HAPO TAYARI UNA WHATSAP MBILI

Kuchat unabonyeza kwenye hiyo alama ya +
 
Asante...mimi ninashida na namna ya kuadd adiministrator kwenye group nililoanzisha ili nikiwa inje ya mtandao huyo admini nitakayemuongeza anisaidie kusimamia group.
 
Mimi natumia hiyo Disa lakini mara nyingi sipati message kwa wakati inabidi mara kwa mara niwe naangalia kwa kuianzisha Disa je kuna utaalaam gani naweza fanya ili iwe kama Whatsapp ya kawaida? new message inapoingia tu iwe inatoa alert
Ahsanteni
 
aasanteni , mi nataka jinsi ya ku hack katika whatsap ya mtu, niweze kurimote mawasiliano yake yote. text images etc bila yeye kujua
 
habari wana group, nimeona post nying hapa za jinsia ya kutumia whasap mbili kwenye simu moja,
INAWEZEKANA, fuata maelezo
ingia play store, then search disa kisha install
Ikimaliza fungua disa then agree the terms of service and privacy
itakuletea setting kwachini kidogo bonyeza add service, kuna text, facebook na whatsap, bonyeza whatsap, itaanza kudownload plugins, ikimaliza bonyeza restart.
kisha kwa juu bonyeza whtasap setting needed, ikikwambia uninstall the official whatsap...... bonyeza skip,
hapa ingiza jina na namba ya simu(usijaribu kuingiza namba ambayo inatumika kwenye ile whatsap ya kawaida itakusumbua), baada ya hapo itakuletea verification bonyeza via sms, kuna sms itakuja kwenye hii namba uliyoingiza copy hiyo whatsap code iliyokuja paste pale kwenye disa kisha submit

HAPO TAYARI UNA WHATSAP MBILI

Kuchat unabonyeza kwenye hiyo alama ya +

asante sana mdau...nmeweza ila nmeshndwa kuweka profil pic
 
Asante Kenny Jeezy. Nimefanikiwa kuweka. Ipo poa sana. Pokea Like kubwa.
 
aasanteni , mi nataka jinsi ya ku hack katika whatsap ya mtu, niweze kurimote mawasiliano yake yote. text images etc bila yeye kujua
Ni kinyume na ile sheria ya makosa ya mtandao. Utafungwa. Hata kama ni mpenzi wako au mke/mme hairuhusiwi unless kama amekuruhusu. Isitoshe utajitafutia high blood pressure ya bure tu. Mambo mengine ni ya kuacha kama yalivyo tu. Wewe mpenzi wako au mke/mumeo angekufanyia hivyo ungefurahi?
 
Attachments

  • Screenshot_2015-12-16-06-17-47.png
    Screenshot_2015-12-16-06-17-47.png
    10.8 KB · Views: 409
Back
Top Bottom