Jinsi ya kutumia smartphone kama Modem

Jinsi ya kutumia smartphone kama Modem

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Je una Laptop na smart phone? Na je ina internet bundle? Na je unahitaji kutumia internet kwenye komputer yako?

Kama majibu ni ndio, basi unauweza kutumia simu yako kupata ama kutumia internet bundles ulizojisajiri mf yatosha au Bombastik n.k tigo na zantel sizikumbuki zinaitwaje.

Kimsingi hatuihitaji modem tena kupata access ya internet.

Jinsi ya kufanya.

Nenda kwenye "settings" kisha changua "more" halafu click "tethering wifi hot spot" iweke "on" wakati huo laptop yako iwe on pia na iwe na uwezo wa wifi.

Subira kwa muda wa dakika moja ili laptop iione na kuitambua simu yako kisha select hiyo connection ya simu then command "connect", hapo itakuomba "key/password" ambazo unazipata kwenye simu yako.

Nenda kwenye wifi configurations au settings kisha utaona neno "password" ila mara nyingi haziko wazi, yaan hazisomeki sasa ili uzisome nenda chini kidogo utaona neno "show password" basi click hapo then password itasomeka, chukua hiyo password i type kwenye laptop pale palipoandikwa "key", basi mchezo kwishney....enjoy!

Na hii munaweza kutumia mpaka watu au komputa nane kwa mpigo na umbali wa kuzunguka chumba cha kawaida.

Kuzima unaweka wifi hotspot "off"

HUHITAJI KUNUNUA MODEM!!

alfred.kohi@kcd.co.tz
0784/764/ 800989
Welcome to :: KCD Group Limited
 
Mkuu akohi ulitakiwa kutoa maelezo ya jinsi wife inavyopatikana kwenye laptop.
 
Last edited by a moderator:
Watu wanalia smartphone zinakata charge afu mtu athubutu kutonunua modem ambayo tigo wanauza 15,000/= na Voda wanauza 25,000/=?
Ni idea nzuri lakini hapo kwenye charge lazima utakoma tu

akili ndogo imetumika hapa
 
Watu wanalia smartphone zinakata charge afu mtu athubutu kutonunua modem ambayo tigo wanauza 15,000/= na Voda wanauza 25,000/=?
Ni idea nzuri lakini hapo kwenye charge lazima utakoma tu

akili ndogo imetumika hapa



You are right golota, hapa akili ndogo inataka itawale akili kubwa halafu utegemee same results...how?

Faida kubwa ya kutumia simu ni kwa kwamba unakuwa unatumia zile zile bundle ulizojirusha mf mimi huwa najirusha ile ya mwezi (20,000) na inatosha kabisa.

Wakati ukitumia modem inakulazima kule pia ununue bundle, sasa kwanini nisiongezee kwenye simu nikapata na sms na airtime ya bure wakat huo huo nainjoi ya internet.
 
Duuuh kwel kuna vchwa xaf xana..utu saf siyo maj na sabun!!
Xaf sana mkuu ndio maana siishiwi ham ya kuingia jf



Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
 
Watu wanalia smartphone zinakata charge afu mtu athubutu kutonunua modem ambayo tigo wanauza 15,000/= na Voda wanauza 25,000/=?
Ni idea nzuri lakini hapo kwenye charge lazima utakoma tu

Haina shida hata kdogo...unatumia usb charge ya smart phone yako na kui connect kwenye PC kila kitu mwikideee
 
Mkuu umeeleza kwa uzuri isipokuwa kuna vitu umeshindwa kuviweka bayana, na kwa kufanya hivyo utazua maswali mengi zaidi...

Yafuatayo ni mambo kadha uliyoaacha ambayo ni muhimu:

1. Aina ya Mfumo wa Simu (OS Platform)
Si kila simu inaweza kutumua utararibu huu ulioueleza, ni simu zile zenye mfumo wa 'ANDROID' pekee ndizo zina uwezo uliouelezea.

Kumbuka kuwa kuna mifumo mbalimbali maarufu ya simu kama Symbian, Windows n.k

2. USB Tethering
Kwa kuwa umeelezea simu zenye mfumo wa Android pekee basi ukiacha mtindo uliouelezea wa WiFi Hotspot (ambao huu ni mahsusi kwa mtumiaji zaidi ya mmoja) pia kuna mtindo mwingine wa USB Tethering ambao ni mahsusi kwa mtumiaji mmoja tu na zaidi hutoa nafasi kwa simu kuendelea kucharge...

Ukiachana na hayo pia kuna suala la namna ya kuwa na reliability ya mtandao haswa kasi ya kupakua web contents na contents nyingine zote kutoka kwa mtandao.

Kwa kuwa sasa mtumiaji atakuwa anatumia mtandao kupitia dadavuzi au PC, ni vyema kwa mtumiaji kuswitch network reception kwenda kwenye either 3G au 4G (WCDMA, LTE) pekee ambapo data speed ipo nzuri kuliko 2G (GSM)

Na mengineyo.....

Jinsi ya kufanya.

Nenda kwenye "settings" kisha changua "more" halafu click "tethering wifi hot spot" iweke "on" wakati huo laptop yako iwe on pia na iwe na uwezo wa wifi, subira kwa muda wa dakika moja ili laptop iione na kuitambua simu yako kisha select hiyo connection ya simu then command "connect" hapo itakuomba "key/password" ambazo unazipata kwenye simu yako, nenda kwenye wifi configurations au settings kisha utaona neno "password" ila mara nyingi haziko wazi, yaan hazisomeki sasa ili uzisome nenda chini kidogo utaona neno "show password" basi click hapo then password itasomeka, chukua hiyo password i type kwenye laptop pale palipoandikwa "key", basi mchezo kwishney....enjoy!

Na hii munaweza kutumia mpaka watu au komputa nane kwa mpigo na umbali wa kuzunguka chumba cha kawaida.

Kuzima unaweka wifi hotspot "off"
 
Haina shida hata kdogo...unatumia usb charge ya smart phone yako na kui connect kwenye PC kila kitu mwikideee

Jamaa ana point mkuu, overcharging your mobile phone inapunguza maisha ya battery ya simu...
 
Back
Top Bottom