Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,355
- 108,486
natumia computer aina ya fujitsu siemens ila hizo app sijajua jinsi ya kuzigundua. Nakwenye os natumia w7 serv pack 2
Namna ya ku-enable wireless card katika kompyuta yako, fuatisha mlolongo huu:
1. Click on Start
2. Click on Control Panel
3. Click on Network and Internet
4. Click on Network and Sharing Center
5. Choose Change adapter settings on the Task pane
6. Right-click on Wireless Network Connection
7. Select Enable
Baada ya ku-enable endelea kwa kuwasha wireless card, sasa hii inategemea na kompyuta unayotumia.
Kwa kompyuta nyingine huwa zina kitu kama switch cha ON and OFF na nyinginezo huwa unatumia combination ya keys...
Kawaida huwa kuna kijialaa chenye mchoro kama huu hapa chini: