Jinsi ya kutumia smartphone kama Modem

Jinsi ya kutumia smartphone kama Modem

Jamaa ana point mkuu, overcharging your mobile phone inapunguza maisha ya battery ya simu...

N sawa but at the same time inasaidia kwa mtu ambae ana smart phone and at the time hana pesa ya modem
 
Je una Laptop na smart phone? Na je ina internet bundle? Na je unahitaji kutumia internet kwenye komputer yako?

Kama majibu ni ndio, basi unauweza kutumia simu yako kupata ama kutumia internet bundles ulizojisajiri mf yatosha au Bombastik n.k tigo na zantel sizikumbuki zinaitwaje.

Kimsingi hatuihitaji modem tena kupata access ya internet.

Jinsi ya kufanya.

Nenda kwenye "settings" kisha changua "more" halafu click "tethering wifi hot spot" iweke "on" wakati huo laptop yako iwe on pia na iwe na uwezo wa wifi.

Subira kwa muda wa dakika moja ili laptop iione na kuitambua simu yako kisha select hiyo connection ya simu then command "connect", hapo itakuomba "key/password" ambazo unazipata kwenye simu yako.

Nenda kwenye wifi configurations au settings kisha utaona neno "password" ila mara nyingi haziko wazi, yaan hazisomeki sasa ili uzisome nenda chini kidogo utaona neno "show password" basi click hapo then password itasomeka, chukua hiyo password i type kwenye laptop pale palipoandikwa "key", basi mchezo kwishney....enjoy!

Na hii munaweza kutumia mpaka watu au komputa nane kwa mpigo na umbali wa kuzunguka chumba cha kawaida.

Kuzima unaweka wifi hotspot "off"

HUHITAJI KUNUNUA MODEM!!

alfred.kohi@kcd.co.tz
0784/764/ 800989
Welcome to :: KCD Group Limited
na hizi wp8 je..
 
Kwa upande wa blackberry inakuaje maana haina wifi hotsport na nataka niitumie kama modem. Msaada tafadhali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Thank you very much God bless you . Now things are very fine. Whooooa!.
 
Kwa upande wa blackberry inakuaje maana haina wifi hotsport na nataka niitumie kama modem. Msaada tafadhali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
install blackberry desktop software then tumia usb cable ya simu yako kuunga na Pc ila utatumia hizi bundle za kawaida wala usitegemee kukamua BIS plan ki hivyo
 
install blackberry desktop software then tumia usb cable ya simu yako kuunga na Pc ila utatumia hizi bundle za kawaida wala usitegemee kukamua BIS plan ki hivyo
Asante kwa msaada wako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yes kwa Blackberry unatumia usb cable ila lazima kwa install desktop software then unaenda kwenye tools utaona option ya ku connect au kutumia kama modem ila tatizo ikiwa kwenye modem simu haziingii wala kupiga sijui hizi latest models kama wamelilekebisha hili
 
Mkuu umeeleza kwa uzuri isipokuwa kuna vitu umeshindwa kuviweka bayana, na kwa kufanya hivyo utazua maswali mengi zaidi...

Yafuatayo ni mambo kadha uliyoaacha ambayo ni muhimu:

1. Aina ya Mfumo wa Simu (OS Platform)
Si kila simu inaweza kutumua utararibu huu ulioueleza, ni simu zile zenye mfumo wa 'ANDROID' pekee ndizo zina uwezo uliouelezea.

Kumbuka kuwa kuna mifumo mbalimbali maarufu ya simu kama Symbian, Windows n.k

2. USB Tethering
Kwa kuwa umeelezea simu zenye mfumo wa Android pekee basi ukiacha mtindo uliouelezea wa WiFi Hotspot (ambao huu ni mahsusi kwa mtumiaji zaidi ya mmoja) pia kuna mtindo mwingine wa USB Tethering ambao ni mahsusi kwa mtumiaji mmoja tu na zaidi hutoa nafasi kwa simu kuendelea kucharge...

Ukiachana na hayo pia kuna suala la namna ya kuwa na reliability ya mtandao haswa kasi ya kupakua web contents na contents nyingine zote kutoka kwa mtandao.

Kwa kuwa sasa mtumiaji atakuwa anatumia mtandao kupitia dadavuzi au PC, ni vyema kwa mtumiaji kuswitch network reception kwenda kwenye either 3G au 4G (WCDMA, LTE) pekee ambapo data speed ipo nzuri kuliko 2G (GSM)

Na mengineyo.....

mkuu watu8 nina sim aina LG android, naomba kujuzwa hii wifi kwenye computer inapatikana vipi?
 
Last edited by a moderator:
mkuu watu8 nina sim aina LG android, naomba kujuzwa hii wifi kwenye computer inapatikana vipi?

Mkuu sijajua haswa swali lako ni lipi kwa maana umetaja vifaa viwili tofauti (simu na kompyuta)...

Labda uniambie unatumia kompyuta gani na umeinstall Operating System ipi?

Kwa kawaida ili uweze kupata internet au ili kompyuta iweze kuwasiliana katika mtandao uwe wa internet au intranet (a network without internet), basi kompyuta hiyo hupaswa kuwa na Network Card...

Sasa huwa kuna aina kuu mbili za network card,

1. Wireless Card : ni kwa ajili ya (mawasiliano yoyote kati ya kompyuta na external peripherals hayahitaji waya au physical connections) na kwa kupitia aina hii ya connectivity ndipo ambapo tunapata Wi-Fi.

Sasa kama kompyuta yako imetengenezwa kwa kuambatanishwa na hii kadi, kuna namna ya kuifanya iwe ON au Enabled na ndio maana nimekuuliza habari za Operating System OS ya kompyuta yako...

2. Ethernet Card : ni kwa ajili ya mawasiliano yanayohitaji waya.
 
natumia computer aina ya fujitsu siemens ila hizo app sijajua jinsi ya kuzigundua. Nakwenye os natumia w7 serv pack 2
na sehemu nilipo wi-fi ina detect kwenye simu yangu na gethering hotsport
 
natumia computer aina ya fujitsu siemens ila hizo app sijajua jinsi ya kuzigundua. Nakwenye os natumia w7 serv pack 2
na sehemu nilipo wi-fi ina detect kwenye simu yangu na gethering hotsport

Mkuu kinachojadiliwa hapa hakihitaji app ya aina yoyote isipokuwa ni uwezo binafsi wa simu kuweza kutumika kama access point au modem.

Pia hatujadili ni connections ngapi za Wi-Fi ambazo simu yako inazidetect mahali popote pale ulipo au namna ya kujiunga na connections hizo.

Kinachojadiliwa hapa ni namna ya kuigeuza simu yako iwe modem au iwe access point, yaani kwa kutumia simu yako uwe na uwezo wa kupata internet kwenye kompyuta yako...

Sasa ni namna gani unaweza kupata hiyo internet ni lazima kuwe na mambo haya matatu:

1. Simu ya mkononi yenye mfumo wa Android (kama ulivyotaja pale juu kuwa simu yako ni Android OS phone).

2. Simu yako iwe na bundle ya internet.

3. Kompyuta iliyo na wireless card.

Jinsi ya kufanya, hebu mfuatile huyu mdau aliyeweka mada, nime-edit kidogo kuweka hatua tatu muhimu:

Hatua ya kwanza kwenye simu:
Nenda kwenye "settings" kisha changua "more" halafu click "tethering wifi hot spot" iweke "on" wakati huo laptop yako iwe ON pia na iwe na wireless card iliyowashwa au iliyokuwa enabled.

Hatua ya pili kwenye kompyuta:
Subira kwa muda wa dakika moja ili laptop iione na kuitambua simu yako kisha select hiyo connection ya simu then command "connect", hapo itakuomba "key/password" ambazo unazipata kwenye simu yako.

Hatua ya tatu kwenye simu:

Back
Top Bottom