Jinsi ya kutumia password kuzima simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
20251109_180944.jpg

Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aingize password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.

Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu lazima aingize password ndo simu izime.

314c739fa51ff5850397cdae22056ba2.jpg

Feature hii ni nzuri sana endapo simu itaibiwa au kupotea haiwezekana kuzimwa mpaka mtu aweze kutoa lock ya simu Unachotakiwa kufanya yafuatayo;

⚡ Ingia setting ⚙️ kwenye simu yako
⚡kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric.
⚡ Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.

Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi
  • lock screen to power down
  • Power Down confirmation
  • passcode to shut down.

ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password 🔑, pin au pattern.
 
  • Ingia setting ⚙️ kwenye simu yako
  • Kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric.
  • Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.

Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi
  • Lock screen to power down
  • Power Down confirmation
  • Passcode to shut down.

Ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password pin au pattern.
 
View attachment 3499440

Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aingize password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.

Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu lazima aingize password ndo simu izime.

View attachment 3499442

Feature hii ni nzuri sana endapo simu itaibiwa au kupotea haiwezekana kuzimwa mpaka mtu aweze kutoa lock ya simu Unachotakiwa kufanya yafuatayo;

⚡ Ingia setting ⚙️ kwenye simu yako
⚡kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric.
⚡ Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.

Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi
  • lock screen to power down
  • Power Down confirmation
  • passcode to shut down.

ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password 🔑, pin au pattern.

Usisahau kutu follow @bongotech255 Kwa maujanja zaidi ✍️.
Meizi hajakomeshwa bado na hizi system.

Dawa ni moja tu endapo wanataka ukiibiwa simu kwa muda huo ikiwa mwizi hajaondoka eneo la tukio au hta akiondoka nii.

1. Tray ya SimCard iwe automated. Ukitaka kuitoa unaingiza kwanza password ndipo inafyatuka.

2. Option ya "silent, vibration na ringtone" nayo iwe na option ya kuingiza password ndipo ifanye kazi.

3. Feature ya "find my phone" ipewe uwezo wa kufanya kazi offline. Hii itasaidia hata kama simu imezimwa DATA ipokee command kupitia emergency service (iwe kama ticktok inavyohifadhi video za kuangalia offline)

4. Wahimize matumizi ya theft ditection na waipe nguvu zaidi ya kumtambua mmiliki ama mtu wa karibu. Siku zote mmiliki wa simu akimuazima mtu mwingine lazima atoe nywila kwanza. Sasa feature ya anti theft iweze kutambua na kutofautisha mmiliki kwa maana ya mtumiaji anayetumia simu muda mrefu na yule anayeishika kwa nadra. Ikitokea simu ikashikwa na mtu asiye mmiliki basi haraka iombe password ili kuthibitiha aliyeishika yuko authorised na mmiliki, ikishindikana kufanya hivyo basi simu itoe mlio wa dharula to the maximum volume na mlio uendelee hatakwa nusu saa bila kutulia isipokuwa tu pale inapokuwa imeachiliwa (hapa najua wahuni watabuni mbinu lakini bado feature namba 3 itachukua nafasi yake)

Kwa leo ni hayo tu
 
Back
Top Bottom