junior mzolo
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 140
- 7
Sasa hiyo inakuwa ni bure au nimelipia
Mm nakushauri ukakae karibu na hoteri ya kifahari, utapata internet ya bure.
Lipia kidogo. Tumia bila kikomo. Jiunge na airtel *148*22# .
Lipia kidogo. Tumia bila kikomo. Jiunge na airtel *148*22# .
Andika SMS hii "mwai-------- mwaipumbuje" tuma kwenda 15550 watakupa internet ya bure kwa miez 6 mkuu
hebu nifahamishe mkuu kama umewahi kutumia naona hapo cha wiki ni 5500 ila ni kweli unlimited?
Nashangaa kwangu kila nikijaribu kujiunga inaniambia this service is not available for you
- Kuna haja ya watoa huduma kutupatia ufafanuzi kuhusiana na hili
Andika SMS hii "mwaitakotako mwaipumbuje" tuma kwenda 15550 watakupa internet ya bure kwa miez 6 mkuu