Jinsi ya kutumia internet bure Android

Kuna setting ambazo zikiwa kwenye simu yako zinaweza fanya uka pata internet bure mfano proxy,port field na vinginevyo we vipi!!!
 
Jameni mwenye uzoefu wowote wa it anipe maelezo

Unatumia Line gani kwenye simu?
Je simu umei-root?
Kuna Injection Tool soon inakuja kwa sasa ipo katika Windows nafikiriano kwa sasa hamna na MAC OS bado kidogo tu
Hii inapenetrate firewall ya mtandao wowote mfano kwa sasa Hamna HACK/CHEAT yoyote kwa hawa Airtel lakini hiki ki-tool kinawatobomoa japo eneo langu naona haliko vizuri max speed ni 300KBps...
Nipe majibu ya hayo maswali kwanza

q6t3.png
 
wadau mambo?. Tech & Gadgets kuko active kweli.au ni mtindo ule ule wa mswali ya kuhitaji msaada.?.
 
ulitaka iwe useful post kwan wap ushawah ona internet ya bure eti kisa ni android nyie ndo mlisababsha mabasi ye2 yakapata pancha kabla ha2jafka kimbiji

Pancha ziliwatatiza wenye akili fupi kama wewe !
Endelea hivyo hivyo kuwa tegemezi ! Huelewi nini unafanya but you go go go on buddy !

Hiyo internet ya bure Unategemea kuipata with single click ! ''Connect''

Damn

Yangu ni hayo
 
Unatumia Line gani kwenye simu?
Je simu umei-root?
Kuna Injection Tool soon inakuja kwa sasa ipo katika Windows nafikiriano kwa sasa hamna na MAC OS bado kidogo tu
Hii inapenetrate firewall ya mtandao wowote mfano kwa sasa Hamna HACK/CHEAT yoyote kwa hawa Airtel lakini hiki ki-tool kinawatobomoa japo eneo langu naona haliko vizuri max speed ni 300KBps...
Nipe majibu ya hayo maswali kwanza
  • Hii kitu hamnakitu kabisa, Nitapost Tutorial yake Soon
hWNQCw
 
  • Hii kitu hamnakitu kabisa, Nitapost Tutorial yake Soon
hWNQCw

sasa usiseme hamna kitu wakati picha uliyo post haina connection
wala hamna hata download mii hiyo kitu speed ni paka 1MB/sec sasa sijui ulitaka kuonesha kuwa na wewe unaijua au la
 
Damn sheet--> shit(edited by snipa)

Bora umenielewa now you've understand how shit you really are !
Usiwe unakurupuka tu kama we hizo pancha ndo zilikuumiza sana !
Wakati kunijibu kawaida unaweza

Uwe una comment kitu kilichopo ! Nimejiunga JF desemba '13 sasa hizo pancha kama unajifanya unazijua sana nakuona mi ni among of those shit endelea !

LMFAO
 
Back
Top Bottom