Facebook hawawezi kupromote bure, ads ni lazima ulipie.
Kama unataka vya bure tumia account feki za wadada kama 10 hivi ziwe na friend list ya watu hata 5,000, ukipost unatumia hizo account ku-share, of course ni illegal na wajinga ndio wanatumia njia hii ila it works.