Mheshimiwa ili kuweza kutumia kadi yako on line, lazima kwanza uende banki CRDB ambao watakupa form fulani ambayo unajaza kisha wanai-scan na kuituma kwenye idara yao ya international banking kama sijakosea ndipo utaweza kutumia kadi yako online. Bila kujisajili kwa kujaza ile form haiwezekani hata kama una viza au mastercard.
Kama wameshakupa internet accounting ID na password, then unaweza kupata huduma zote za internet banking ambazo ni kuhamisha fedha kutoka kwenye account yako na kwenda kwenye account ya mtu mwingine wa CRDB pekee, hawatoi huduma kama huyo mtu anayemtumia hayupo CRDB. Hii huduma nimeitumia mpaka sasa nina miaka miwili ni nzuri sana sihitaji kwenda kukaa foleni bank ili kumhamishia mtu fedha ambaye yupo CRDB, naingia kwenye internet na kutuma fedha japo wana chaji kila mwezi Tsh 1000. Huduma ya kununua vitu online kama ulivyo eleza hapo chini siyo sawa na huduma ya internet banking, inataratibu tofauti.
..... .Huduma itakayompa mteja fursa ya kununua bidhaa online ni tofauti na hii ya internet banking. Huduma hiyo inaitwa internet enabling service. Hii ni lazima mteja aombe then card yake(visa/master) inawezeshwa kununua/kutuma online.
Crdb internet wamekuwa wezi,nadhan tunakumbuka tukio lakaribun mfanya biashara alikuta 3m zimepote.