eliasy
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 455
- 54
kama pc yako iko na wireless turn on kisha nenda kwenye simu yako upande wa SETTINGS>WIRELESS AND NETWORKS>TATHERING AND HOTSPOT>tick PORTABLE Wi-Fi Hotspot.
kama pc yako haina wireless fuata hatua hizo hizo ukiwa umeiconnect simu na usb cable lakini katika hatua ya mwisho tick USB TATHERING.
Mimi cmu yangu cyo android. Ni samsung ya kawaida, model number GT-C6712. Inayo wireless. Naitumiaje?