Galaxy pocket min.
kama pc yako iko na wireless turn on kisha nenda kwenye simu yako upande wa SETTINGS>WIRELESS AND NETWORKS>TATHERING AND HOTSPOT>tick PORTABLE Wi-Fi Hotspot.
kama pc yako haina wireless fuata hatua hizo hizo ukiwa umeiconnect simu na usb cable lakini katika hatua ya mwisho tick USB TATHERING.

kweli JF ni mwisho wa yote, siku zote naangaika na na ma internet kumbe natembea nayo, nimejaribu kitu kina kula wireless bila shida. kula like mkuu, umenipa elimu nyingine
Hata mim natumia huduma hiyo connect usb yako btn phone na pc than nenda kwenye setting ya simu tafuta tethering unaselct tayar utapata internet au unaweza kutethering kwa kutumia bltoth kama pc yako inayo
kama pc yako iko na wireless turn on kisha nenda kwenye simu yako upande wa SETTINGS>WIRELESS AND NETWORKS>TATHERING AND HOTSPOT>tick PORTABLE Wi-Fi Hotspot.
kama pc yako haina wireless fuata hatua hizo hizo ukiwa umeiconnect simu na usb cable lakini katika hatua ya mwisho tick USB TATHERING.
Naomba kuuliza, hivi DELL LATITUDE D630 haina wireless? Kwa sababu naona alama ya wireless but how to switch it on ndiyo inanipa taabu hadi nawaza labda ni geresha tu.