Jinsi ya kutongoza

Duu ndio mahana nakosa mademu eti, najiliwaza kwa madada wahisani tu wakombozi wa ng,ambo
 
kwote huko kwa nini mi najipakaga dawa flani hivi, nikikugusa tu umekwisha,....kuhangaika staki

Hivi haya mambo yapo kweli na sio story za abunuwasi😱
 
Khaa!! Kutoka kwenye kamusi ya kiswahili, Kutongoza maana yake ni kutumia lugha ya kilaghai kutoa ahadi za uongo kwa lengo kupewa kitu fulani. Usiwadhalilishe wanawake bana :mvutaji:
 
from no where ukamshike demu wa watu bega eeeeh mbona hizi techniques betri low
 

ndiyo yau jazayo moyo wako mkuu? Angalia siku si nyingi utaliwa palau. Wajanja wa iyo michezo wameshaliwa pilau ndugu.
 
bora tungekua kuku tu ukijiskia tu unawakilishaaaa Fastaa haina haja ya sjui mshike bega sjui mpe simu SHIT!
 
Hakuna haja ya mtongozo siku hzi kuna buku mbili moja wakati mwingine anakukopesha pesa unaleta cku nyingine
 
unatongoza kulingana na mwanamke alivo, njia za kumtongoza mwanamke kanisani ni tofauti na zile za kumtongoza aliye bar, kwa iyo huwezi kukariri jinsi ya kutongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…