Jinsi ya kutongoza

Nakumbuka kule Nairobi Kuna mitaa ukipita unakutana na hawa wa Beijing wanakuambia "karibu costomer iko fresh"
 
Hivi huyu mtoto wa mjini lara 1 nitampataje
walahi namhitaji sana binti huyu maana kauli zake tu mie hoi
 
Last edited by a moderator:
Mbona aina ya utongozaji wako ni mgumu sana ewe mlete uzi?Mimi huwa namuangalia mwanamke kwa ustadi kama dakika nane hivi bila kubonga chochote na yeye mwenyewe ananiomba namba ya simu kwa muendelezo ulio bora zaidi.😀:thumbup:
 
natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda. ni PM

2 weeks? Seriously? Tafta mbinu nyingine boss hiyo imepitwa sana na wakati. Kuna watu leo anakutana nae kesho au kesho kutwa kishamaliza kazi i mean hadi mzigo kisha piga. Na ni hao mnaowaita wakali (classic/waifu material) sio wale wakujiseli.
 
Hahahaha namim ngoja nianze kuwashika begani
 
Your not serious, hata kama kavaa dela linalofanana na mfuko wa unga wa mashineni nimwambie amependeza!
 
Toa wallet iliyonana vizuri fedha... chomoa elfu kumi... andika number yako ya simu juu ya noti alafu mpe.
 
Mmmh... Mi naamini kila mtu ana namna yake ya kutongoza... Hakuna formula ya kutongoza bana...!

Na mahala mlipokutana kabla ya kuanza kutongoza panamata sana... mkikutana club mtongozo wake ni tofauti na mkikutana maeneo ya kanisani
 


Huu tunauita mtongozo wa kiutu uzima, wengi humu ni vijana na vitoto vya chuo lazma watashindwa na wakijitutumua jua siku kadhaa mbele watagongea msosi kwa washikaji ama kupiga - kabisha.
Usiwatishie sana wakaishia kupiga puli na kula kwa macho
 

Tuliooa tutapima kama zinafanya kazi, akinitafuta namwambia nimehama mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…