Jinsi ya kutongoza

Kazi kwenu watongozaji! Kumbe mnahitaji darasa? lol poleni, itabidi mtafute na mwalimu wa twisheni ili muelewe vizuri
 
Wewe mwanamuke umeorewa au maraya? Hii ni ya kikurya. The truth is hakuna formular. Sana sana siku hizi ukichelewa kutongoza mwanamke anakutongoza laivu.
 

Hiyo niliwahi kumpata demu kiulaini ndani ya daladala tukiwa tumesimama watu nyomi, kina mama watu wazima wakinichungulia wasipata kuamini BIG UP FOR THE TIPS!
 
Wewe mwanamuke umeorewa au maraya? Hii ni ya kikurya. The truth is hakuna formular. Sana sana siku hizi ukichelewa kutongoza mwanamke anakutongoza laivu.
Sasa murah hapa wakurya tena tumeingiaje mbane, wacha uchokozi murah.
 
Hakika kutongoza hakuna formula. Kutongoza kunakwenda na mazingira.
Kila mwanamke kuna jinsi yake ya kumtongoza.

Hakuna formula.
 
Labda unaemtongoza kwa style hii na yeye alikua anataka. Kama sivyo basi sahau Mpwa siku hizi wakali kweli sharti aichungulie Ze Tembo card first
 


Amakweli tusiojua kutongoza mbona tutakiona cha moto. Nyie wakina dada nyie hebu kuweni na huruma jamani, mapenzi ni shida na raha jamani, sio mnapenda raha tu. Bora hata inakuwa unagharamia hivi halafu uhakika wa kumpata msichana upo, maana kidume unaweza ukajituma hapo kumbe mtu ana mtu wake hakwambii. Yaani hapa ni bora kusubiri miujiza ya Mungu tu
 
ngoja nkajipange upya kila ntakaekutana nae tu ni mwendo wa kumshika BEGANI na kumkabidhi simu mkononi......no more talks


Mkubwa kuwa makini mzee, maana kwa hii formula ukiteleza tu...........umeonekana kikatuni.
 
we sosholana mu fesbuuuk, dont give me ur number... *mdundo* www dot msanjawena dot coom,

mambo yote facebook, nani anatongoza siku izi?
 
hahahaaaaaaaaa we wadanganye wenzio tu, men don't try this kama hamtaki kudhalilika.........

From nowhere umshike mwanamke bega? Humjui au hakujui? Kisa umwambie amependeza.....

Uwiiiiiiii

anyway labda kuna baadhi ya wanawake wanazikubali lakini mmmmmmmmmh
 

hahahaha loh!
 

me hii haitanifaa kwani jina la ofisi tu nikimtajia binti anachanganyikiwa, nikimpa kadi si atanifuata...hii itaniletea matatizo kabisaa
 
dah..ndo maana nilihangaika sana.....hebu tiririkeni....
 
kugusa watu mabega wengine waume zao wako nyuma wanakuona
unadundwa bure.....lol

THE BOSS, umenifurahisha sana halafu nimekumbuka juzi gf wangu alikuwa ktk sherehe fulani wamemng'ang'ania mara kafunika, mara Mrembo, picha wapige naye...me najiuliza hawajui VIZURI NI GHARAMA...UKIONA VYAELEA VIMEUNDWA UNALETA CHOKOCHOKO KUMBE MKE WA MTU UTACHEZEA NUNDU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…