Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Kwanza utampata wapi mwanaume ambaye hana mpenzi?ukibahatika sana utampata ambaye ametoka kwenye mahusiano na girlfriend wake akisubiri kumpata mwingine.
 
Ulisema hutaki kutoa number ya simu pm. I wonder now ipo hadharani ( vizuri). Ila wanaume wazuri wote wapo kwenye mahusiano( kwa mtazamo wangu)
Hujakosea.ambao hawapo kwenye uhusiano ni wale wa kudonoa donoa na kusepa.
 
Mwanamme anayetongozwa hivyo lzm awe na hela!Hawa wenzetu kwa mwanamme mwenye hela njia zote zitatafutwa

Kama hauna hela nani atakufanyia yote hayo?Kichwa cha habari sasa kibadilike kiwe "jinsi ya kutongoza mwanamme mwenye hela"
 
Ndio maana hiki kidemu kinaleta kwangu swaga sake hizi sasa atashika adabu yake
 
Usiwafundishe Dada zetu uhuni tamaduni za kiafrika hazruhusu haya mambo waachie wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…