ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Kauliza jinsi ya kutengeneza we unataka kumtengenezea, kwan ukimuelekeza hapa utapungukiwa na nin .?Toa hela nikutengenezee ni pm
Jinsi ya kuteneza ni mambo mengi mno ye kama ni programmer aweke code zake aliposhindwa asaidiwe na sio sisi tufanye from scratchKauliza jinsi ya kutengeneza we unataka kumtengenezea, kwan ukimuelekeza hapa utapungukiwa na nin .?
Hajakwambia ufanye from scratch, kaomba kuelekezwa, you could atleast highlight out few points aanzie wapi ..Jinsi ya kuteneza ni mambo mengi mno ye kama ni programmer aweke code zake aliposhindwa asaidiwe na sio sisi tufanye from scratch
Yaani ni Computer tuu ina window 8 na short cut ya hiyo system ukiifungua tuu unaona Kama mtu kafanya malipo Ndio utaona Taarifa zake ila kama hajafanya huwezi kuona taarifa zake....so akiwa amefanya malipo unaingia unamfungua wewe unamalizia kujaza taarifa chache tuu then kuna option ya ku update kisha una print....haihitaji internet sasa mimi nataka niwe na copy ya hio kitu kuwa nikifungua basi mm nijaze taarifa zake zote si atakuwa hayupo kwenye system....so nikienda kwenye computer yangu niwe na uwezo wa kujaza kila kitu chake na nikiprint iwe sawa na ile ya kwenye system japo hii nimejaza kwa mkono wangu.....Karibu kila programming language ina function ya kuprint page. System yako imetengenezwa kwa kutumia language gani? Je ni Web-Based System? Kama jibu ni ndiyo, basi sio lazima utengeneze print button. Kwenye browser (e.g. Firefox, Opera, Google Chrome) kuna option ya ku-print page.
Unaweza anza kunielekeza kuwa kinafanyika hiki na hiki na mm nikajua kuwa nikitaka kufanya hivi nimuone fulaniKwa kuja kuuliza hili swali ni wazi kabisa huna idea yoyote ile na software development.
Jibu ni dogo tu, hata ukielekezwa hutoweza, unaweza hisi ni kitu kidogo tu kuprint ila ni zaidi ya hapo, hadi ukae na mtaalamu aangalie software yenyewe unayotumia ni ipi, document inayoprintiwa ikoje, data zinatunzwa wapi, vipi. Na akimaliza ajue anawezaje kutengeneza the exact copy. Kama huna ujuzi huo huwezi elekezwa ukafanya tena kwenye internet, ni skill inayochukua miaka kumaster sio sawa na kuelekezwa fungua website flani click hapa, hapana.
Mimi naona ni tatizo la privilege tu, huwezi kuwa na copy sababu huna 'clearance' inayokuwezesha kufanya hivyo, labda mabosi wako watakuwa na hiyo privilege. Sababu ya pili yaweza kuwa mantiki ya unachotakiwa kufanya. System lazima iwe na balance and checks. Mfano kama wewe ni mwalimu, system haitakiwi kukuruhusu ufanye kile ambacho mwanafunzi anafanya-mfano hutakiwi kurekebisha matokeo kama wewe ni mwanafunzi.mimi nataka niwe na copy ya hio kitu kuwa nikifungua basi mm nijaze taarifa zake zote si atakuwa hayupo kwenye system....so nikienda kwenye computer yangu niwe na uwezo wa kujaza kila kitu chake na nikiprint iwe sawa na ile ya kwenye system japo hii nimejaza kwa mkono wangu.....
Sas mm niwe n uwezo wa kujaza hvyo vitu kwa mkono na nikiprint niweze kuwa sawa na yule alioko kwenye system