Mkuu tunatengeneza application za kwenye simu tunafanya hivyo kwa bei reasonable, tunaanzia kwa tshs 500,000 kwa applications zenye basic features,NAOMBENI msaada namna ya kutengeneza play store apps za android au anaeweza anisaidia gharama za utengenezaji!
Kutengeneza website shi ngapiii ya shirikaMkuu tunatengeneza application za kwenye simu tunafanya hivyo kwa bei reasonable, tunaanzia kwa tshs 500,000 kwa applications zenye basic features,
pia tunatengeneza website na systems, mfano ukitaka kutengenezewa system ya ku keep na ku track records za wagonjwa hospitalini kwako, wanafunzi wa shule yako, stock za kwenye biashara yako, wateja wako n.k
kwa anayetaka huduma anichek inbox
dunia inabadilika sasa hivi na technology ina take over na kurahisisha kazi, tubadilike nayo kwa maendeleo ya haraka zaidi
mkuu inategemea na hiyo website unataka iwe na features zipi, kwa maelezo nipigie kwa hii nambaKutengeneza website shi ngapiii ya shirika
Mkuu hela IPO?
Unaweza kutengeneza website kama hii ya jf? Bei gani?mkuu inategemea na hiyo website unataka iwe na features zipi, kwa maelezo nipigie kwa hii namba
+255 744 355 430
inawezekana mkuu sema itachukua muda mwingi, website itatengenezwa na kufanyiwa improvement kidogokidogo hadi kufikia kama JFUnaweza kutengeneza website kama hii ya jf? Bei gani?
inategemea na mahitaji ya shirikaKutengeneza website shi ngapiii ya shirika
Kwani jf ina gharama kuiendesha zaidi ya kununua server?inawezekana mkuu sema itachukua muda mwingi, website itatengenezwa na kufanyiwa improvement kidogokidogo hadi kufikia kama JF
JF huwa wanaiboresha, jf ya mwaka jana haifanani na hii kama unakumbuka..Kwani jf ina gharama kuiendesha zaidi ya kununua server?
mkuu we nitajie gharama yake na muda itachkua kukamilika.kabla sijafika pm tafadhaliDu ni long process kujifunza pia kwa bure huwezi pata mtu ila kama uko serious ni pm tuongee business ni ela kidogo tu
Ni natak,iwe app ya kutupia na kuweka taarifa mbalimbali za maswala ya afya.Yani in short ielezee vizuri iyo app pia input data zikoje na output data and layout unataka ikaaje, ili nifahamu I/O yake niweze Kusema bei, mana bado sijajua unataka iweje
Twende inbox kwa maswali zaidi kuhusu idea yako ili nikupe pricing.Ni natak,iwe app ya kutupia na kuweka taarifa mbalimbali za maswala ya afya.