Ukanjanja kwa my wife wangu?
Wasikutishe mkuu...hao sijui Tcra waanze na aliye hack account ya dogo jembe au wamtafute yule jamaa aliyeweka application ya kizush playstore anayewalia watu sh. 35,000 zaoNataka kujua sms ,watsup au hata kujua maongezi,mwenye utaalam pls
Mpe hela tu hayo mambo mengine achana nayo.
Wasikutishe mkuu...hao sijui Tcra waanze na aliye hack account ya dogo jembe au wamtafute yule jamaa aliyeweka application ya kizush playstore anayewalia watu sh. 35,000 zao
Back to the topic..kupata sms anazopokea na anazotuma tafuta application (ya android) inaitwa phoneleash..hii utatakiwa kui install ktk simu ya wife wako,baada ya hapo utapata msg zake na call duration zake,utazipata katika namba yako ya simu au email(hapa utachagua wakati una install)
Na kuhusu whatsapp search humu jf "whatsapp web" ilisha zungumziwa sana jukwaa la teknolojia,hii utasoma vizuri whatsapp chat zake
Kama una swali ni PM.
ONYO:
Fanya for your own risk na hizo njia ni kwaajli yakujifunza tu,sio kuingilia uhuru wa mtu mwingine.
@$%&%$
Hapana...phoneleash ukisha weka katika simu ya wife may be.,huitaji kuweka na kwakoMkuu unafanyaje kujihakikishia kuwa mimi ndo napata mawasiliano yake na si yeye kupata yangu,maana naskia app inatakiwa kuwa pande zote
Fanya for your own risk na hizo njia ni kwaajli yakujifunza tu,sio kuingilia uhuru wa mtu mwingine.
@$%&%$
Ukanjanja kwa my wife wangu?
No offense ila mkuu hulipwi, najua umempa technique kwa sifa tu kuonekana unajua mambo mawili matatu kuhusu simu, na hizo sifa zenyewe ni like moja tu atakayokupa labda na mbili tatu kutoka kwa watu wenye tabia kama yake, hazisaidii chochote.
Kusema ati ni kwa ajili ya elimu tu unajaribu kujionyesha mzuri ila unajua fika uliyempa hatotumia kwa kusudi hilo, hizi njia sio kwamba wengine hatuzijui ila hatuzisemi ovyo hasa kwa mtu kama mtoa mada, wabongo wengi bado sana kwenye maswala madogo madogo kama haya wanalizwa mno.
Dont spread kitu ambacho its obvious ni illegal kwa kua unajua TCRA hawatomshika, it might seem that way kwa huyu, ila kati ya watu 100 siku akisema moja anaenda kushtaki lazima mtu afungwe.