Jinsi ya kutambumbua Samsung note 9 original

Jinsi ya kutambumbua Samsung note 9 original

ibradebo

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
304
Reaction score
187
Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kike wakuu
 
tuma hapa picha yake tutakwambia kama ni OG au mtikenge.

na inawezakuwa OG ila ikawa na matatizo ya siri.
 
Picha hiziView attachment 2332949
Screenshot_2022-08-23-22-06-21.jpg
 
me

Me yangu ni S 9+, sema inanizingua kitu kimoja upande wa camera yaani ukitaka kupiga picha usiku haimuliki taa moja kwa moja, ila inatoa mwanga na kutoa baada ya picha, yaani unakuwa kama unabashiri, haya ndo matatizo ya samsung

kwani si ndio flash inapiga hivyo au unataka ikimaliza kuchukua image iendelee kukumulikia???
 
Hii S9 jamani mbona bei yake imeporomoka ivo ka uchumi wa Tanzania au kuna hitirafu ilivyotengrnezwa au kuna matolea mazuri kushinda s9??? Maana i atangazwa na wengi kwa bei chee sana.
 
Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kike wakuu
njia kwanza ya kujua ni iyo bei asee 380k kwa izo specification shtukaaa
 
Hamna kitu hapo kwanza bei ya kioo tu cha note 9 ni laki tano na nusu hivi.wewe Leo uuziwe simu kwa 380🤣🤣🤣🤣
 
Mtoa mada kasema Note ila kuna Mazuzu yanachanganya madesa yanasema S9 niwaambie kitu Wajuaji wa jf S9 na Note 9 ni Simu mbili tooofauti kabisa! Kwahiyo Note 9 kwa bei hiyo ni changa la macho coz hata Note 8 ya GB 32 hupati kwa 380k sembuse Note 9?? Mtoa Mada hiyo Simu kwenye picha ni Og ila sasa utakayoenda kupewa huko Ndo utapigwa kwahiyo Kuwa makini!


CHEAP IS EXPENSIVE
 
Back
Top Bottom