Jinsi ya kushusha window kwenye laptop/PC.

Jinsi ya kushusha window kwenye laptop/PC.

Omary idd

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
65
Reaction score
13
Naombeni. Kujua na kuuliza. IPI ni window bora kwa PC ya Duo2 pia RAM 2GB
Swali LA pili. No hatua zipi za kufata wakat wa kushusha window 8 kuweka window 10 msaada jaman
 
Naombeni. Kujua na kuuliza. IPI ni window bora kwa PC ya Duo2 pia RAM 2GB
Swali LA pili. No hatua zipi za kufata wakat wa kushusha window 8 kuweka window 10 msaada jaman
Usisahau kuwa na drivers pia maana baada ya hapo unaweZa kukosa sauti, screen ikawa inaonyesha vibaya wireless haisomi na mengine mengi
 
Nenda jukwaa husika utasaidiwa
 
Tupia Win7
Ingia Google search how to setup windows 7
 
Back
Top Bottom