yaani inakuwa hata wakipost ujinga wewe unalike tu
Utapata kiasi gani?Ngoja niingie hii itakuwa poa Sana kwangu.
Hamna mkuu hii nawasaidia wapenda like kule insta Si vibaya wasambazia likes.Utapata kiasi gani?
Kula like yangu.Ujinga mtupu hizo like zinaliwa