Jinsi ya kusafisha uke


Ka wangekua na uwezo huo, basi wasafisha kucha wa mwenge wasingejazana vile.
 
Duh mwee,wanaume wanafunda tih tih tih nakunyoaje,twatakiwa kunyoaje?
 
....basi wa hivi, ngoja avue boxer au soksi, utatamani kufungua mlango....
Boxer limegandamana michirizi ya kujipiga bao usiku

nimewafundisha kiroho safi ila naona dada unaleta kashfa.
 
Jivu??? kisa cha kuhatarisha usalama wa uchi....

Uko dunia ya ngapi wewe?
Sikia, unachukua jivu la motomoto unapakaza juu ya vuzzzz, kisha unachukua mafuta kidogo unapaka juu yake halafu unaanza kusugua.....inauma hiyooooooo.....chozi lazima litoke.....
Utaona vinyoya vinaanza kudondoka dondoka....unasugua mpaka akili ikukae sawa.
Baada ya kumaliza nawa na maji kisha paka mafuta yako.
Onyo: Vuz likiwa la kipilipili utamaliza siku nzima kusugua..ila kama la kizungu, mdebwedo tu.
 

Watoto wa .com hawa bebi achana nao usikute yupo la Sita wallah
 
Mbona mkuu hapo kuna baadhi ya wataalamu wanasema kuwa sio vema kusafisha Uzima /@K kwa kutumia sabuni, naomba ufafanuzi mkuu Muntat na wadau wengine wa #JF .

mkuu kuna sabuni kwa ajili ya kujiswafi huko. zimetengenezwa kwa kazi hiyo sio hizi za kuogea mkuu
 
Last edited by a moderator:

kisa cha kuumiza ustawi wa jamii na kilio juu???acha nimiliki msitu ntaomba hata kibali serikali za mitaa
 
mkuu kuna sabuni kwa ajili ya kujiswafi huko. zimetengenezwa kwa kazi hiyo sio hizi za kuogea mkuu

Ok mkuu mutant Gene sasa je upatikanaji wa hizo sabuni ni kama zile za kuoshea vyombo au ndio mpaka uende superMarket na kwenye maduka makubwa ya Dawa kwani kina dada wako kila pembe .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…