Jinsi ya kurudisha picha ulizofuta bahati mbaya

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,164
6,535
89f767d5f56c2ef7bfc46608924da41b.jpg


Huna haja ya kuwaza tena. Endapo utapoteza vitu vyako muhimu. Kwenye CM yako. Hiyo app inapatikana play store bureee. Kazi kwako kufuata maelekezo tu.
 
Kwa uhangaike hivi kujaza simu apps wakati siku hizi kuna clouds data backups kibao tena hawalipishi hata senti
 
Back
Top Bottom