Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
Hayo mafile hayaonekani? hayawezi hamishika? tafuta application inaitwa ULTRA ISO itakusaidia yapata!!...ukishindwa itumia nitafute!..Mkuu kuna flash yangu ina mafile lakini hayasomi shida itakuwa nini