Jinsi ya kurudisha contacts, sms, images, audios, videos n.k ulizofuta kwenye simu

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,334
2,000
Mkuu kuna flash yangu ina mafile lakini hayasomi shida itakuwa nini
Hayo mafile hayaonekani? hayawezi hamishika? tafuta application inaitwa ULTRA ISO itakusaidia yapata!!...ukishindwa itumia nitafute!..
 

Mushi92

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,908
2,000
Kuna document nilihamishia kwenye memory lkn memory n mbov ikagoma kufunguka na inadai kuformatiwa.
IPI njia nzur ya kuzipata?
 

kansinsi

Member
Sep 24, 2013
76
95
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WQBARAKAATUH.

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
n shaa Allaah, Leo Wale Ambao Allaah Hakutufahamisha, Nini Tufanye Endapo Tunataka Kurudisha Vitu Tulivyovifuta Kwenye Simu Zetu,Tutajua Namna Ya Kuvirudisha BiidhinLLaah.

MAHITAJI
1. Simu Iliyopoteza Hivyo Vitu
2. Lap/Desk-Top

3. Program Ya EaseUS MOBISAVER FOR ANDROID.
(Nakhofia Kupigwa BAN Endapo Nitaiweka Link Itakayokuwa Asbaabi Ya Kui-DownLoad Hii Program)

4. USB
5. Nafasi Ya Kutosha Ya Simu Au Memory Card, Ili Kuweza Kuhifadhi Vitu Vitakavyorudi

HATUA ZA KUFUATA
1. Ingia Kwenye Hiyo Program KISHA Itakwambia U-Connecf Simu Na Lap/Desk-Top Kwa Kutumia USB

2. Kisha Itakwambia Uwashe USB DEBUGGING

3. Kisha Utaboofya START

4. Itaanza Ku-Scan Vilivyofutika, Isubiri Imalize Ku-Scan (Muda Utakaotimika Inategemea Na Vitu Vilivyofutwa)

5. Kisha Utabofya RECOVER, Utasubiri Imalize Ku-Recover

6. Vitu Vyako Vyote Hivyo Hapo.

NB:-
1. Hii Program Ni Ya Kulipia ($ 39 Na Upukupuku) Ila Wakati Wa Kui-DownLoad Utapewa Option Mbili Ya Kununua Na TRIAL VERSION. so Kama Huna Pesa Chagua TRIAL VERSION

2.Ukitumia TRIAL VERSION Hutoweza Kuvirudisha Vitu Kwenye Simu Yako ILA Utaviona Vyote Wakati Wa Kuji-scan. So Kama Ulikuwa Una-Recover Ili Upate Namba Au Sms Fulani Utaiona Bila Kununua Program

3. Ukitumia Version Ya Kununua Utaweza Kuvirudisha Vyoote.

4. Kuna Namna Ya Kufanya Ili Kupata VERSION YA KUNUNUA Bureee, Bila Kutoa Hata Senti.

In shaa Allaah, Allaah Akinifahamisha Nitaileta Jukwaani.


UNAWEZA TAZAMA VIDEO HII

Jumabakari@yahoo.com
 

soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
585
250
kweny mahitaj hapo sijaelew vzur simu iliyopotea au sim mpya? Sababu sim umeshapoteza utaipataj sasa
 

Hardbody

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,215
2,000
Yanatokea Maandishi Ya Ajabu-Ajabu?
No hakuna maandishi ya ajabu hata majina ya Mafile yapo vile vile kama nilivoyaandika ila tu content hazipo ukifungua tu inakuandikia "file empty".... Sasa hapo sijui tatizo ni nini na wakati inaonesha kuwa kuna Space imetumika ya hayo mafile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom