Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho

Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho

John Achila Mukumwa

Senior Member
Joined
Jan 4, 2024
Posts
110
Reaction score
210
Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho

Urejesho ni nini
Urejesho ni kitendo au mchakato wa kurudisha kitu katika hali yake ya kwanza kwa kufanyia ukarabati au kwa kukisafisha. Ni kitendo cha kurudishia, kufanya upya, kufufua au kuimarisha. Kitabu cha Yeremia 30:17 kinasema: “Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema Bwana, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, ni Sayuni, ambao Hapana mtu autakaye”.

Kwa nini lazima kuwe na urejesho
Kuna watu ambao wameketi katika makanisa kila juma ambao wamenasa katika dhambi au hali fulani, na ingawa wanavuta kwa bidii ili kujaribu kujinasua, wanakaza minyororo wenyewe tu katika hali hiyo. Mara nyingi tunataka kuwasaidia watu kutoka katika hali fulani bila kutambua mzizi wa kiroho wa tatizo. Lakini ikiwa sababu ni ya kiroho, ya kiroho lazima iwe tiba. Sikuzote mtego hukita mizizi katika jambo la kiroho kwa sababu mzizi wa mtego wowote ni Shetani, mwili wetu au vyote viwili. Huwezi kutibu kitu kiroho kwa kuangalia tu dalili za tatizo. Lazima ugundue sababu ya kiroho na kuitendea kiroho ili kumrejesha mtu (2Timotheo 2:14-26).

Maana ya kibiblia ya neno “urejesho” ni kupokea zaidi ya iliyopotea hadi kufikia hatua ambapo hali ya mwisho ni kubwa kuliko hali ya awali. Jambo kuu ni kwamba mtu au kitu kinaboreshwa zaidi ya kipimo. Tofauti na maana ya kawaida ya kamusi ya "kurejesha", ambayo ni kurudisha kitu katika hali yake ya asili. Mara kwa mara katika Biblia, Mungu huwabariki watu kwa ajili ya imani na magumu yao kwa kufidia hasara zao na kuwapa zaidi ya walivyokuwa navyo hapo awali. Mungu anatoa amri rahisi lakini za lazima kwa watoto wake wakati wa tangazo lake la urejesho. Matendo hayo yanaonyesha kwamba tunatii na kumwamini Mungu wa urejesho na wakfu wetu kwake. Ni Mungu, kupitia urejesho, anayefanya jina lako kuwa kuu na kukupa ushuhuda na itafanyika huku ukiutazama mkono wake wenye nguvu maishani mwako!

Je imani yako imefifia? je upendo wako umepoa? je Amani yako imepungua? na haki yako imepoa? Na hujui cha kufanya na ndani bado una haja sana ya kuwa na mambo hayo? Basi suluhisho lipo ndani ya biblia.

Ifuatayo ni kanuni moja nyepesi ya kurejesha joto la ROHO MTAKATIFU ndani yako. Kumbuka mtu aliyejaa Roho Mtakatifu ataonyesha matunda yafuatayo:
Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi…”.
Ikiwa mambo haya yalikuwa ndani yako lakini sasa huyaoni tena, au ikiwa hauna kabisa, basi tumia kanuni iliyoelezewa hapo chini kuyarejesha/kuyajenga ndani yako.

Kaa karibu na watu wanaomwita Bwana
Watu wanaomwita Bwana, kwa lugha nyingine ni watu waliookoka kikweli kweli. Pengine utauliza ni kwa namna gani? Tusome maandiko yafuatayo:
2Timotheo 2:22 “Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao bwana kwa moyo safi”.
Hapo mwisho anasema, ukatafute haki, imani na upendo na amani “pamoja na wale wote wamwitao Bwana kwa moyo safi”.
Hivyo, haki inapatikana kwa watu wanaomwita Bwana kwa dhamiri safi. Kumbe tukikaa na watu waliomaanisha kumwita Bwana na kumtafuta, basi Amani tutaipata, na upendo na Imani.

Kama maandiko yasemayo kwamba “chuma hunoa chuma, Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake” (Mithali 27:17). Vivyo hivyo, na sisi tunapokaa na watu wenye kumaanisha kumtafuta Mungu, wacha Mungu, basi ule moto ulio ndani yao utahamia na kwetu pia.

Lakini tukijitenga na kubaki wenyewe, au tukijumuika na watu wengine wasio na nia ya dhati kumtafuta Bwana, ni vigumu kuuwasha ule moto wa Roho ndani yetu. Tutabaki kama tulivyo. Kanuni ni kukaa pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi. Vile vile, tunapojitenga na kuamua kukaa peke yetu kwa muda mrefu, pia ni hatari. imani, amani, upendo na haki yako vinaweza kuathirika pakubwa.

Watu wamwitao Bwana kwa moyo safi wanapatikana wapi

Hawa wanapatikana katika kanisa lililo hai

Hii ni sehemu pekee ambayo utawapata watu wamwitao Bwana kwa moyo safi. Jiunge na kanisa la kiroho lililo karibu nawe, au hata lililo mbali ikiwa lililo karibu nawe halina utakatifu. Jumuika na watu hao, katika utii na unyenyekevu, na katika ibada zote. Hapo Roho Mtakatifu atakujenga ndani yako na kukujaza nguvu zake. Utaona imani yako inapata nguvu, upendo wako uliopoa unawaka tena, haki yako iliyopotea inarudi na amani yako pia inahuika upya.
Ifanye hiyo iwe desturi yako daima, kama kitabu cha Waebrania kinavyosema:
Waebrania 10:25 “wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine...”.

Baadhi ya mistari ya Biblia kuhusu urejesho katika maombi
Kumbuka, haijalishi uko katika hali gani sasa, Mungu hafungwi na hali hiyo kukubariki na kukusaidia. Katika mawazo ya Baba, wewe ni mtu muhimu sana. Hata kama unaona dunia yako imevunjika vipande vipande hivi sasa, Mungu atakurejesha, atakuinua, atafuta vumbi la nguo zako na utang'aa kwa rehema zake. Kile kilichoonekana kimepotea na bila matumaini kitabadilishwa kuwa furaha kwa nguvu isiyo na mwisho ya Yesu.
Muite Mungu, omba msaada wake, na usitilie shaka kwamba neema yake inakuwezesha kufanya, kwa nguvu zake, kile usichoweza kufanya peke yako.

Hapo chini, kuna baadhi ya mistari inayohusika ya kujiunganisha nayo katika maombi ya kurejesha nguvu ya kiroho.
Zaburi 23:3
: na kuirudishia nafsi yangu nguvu mpya. Huniongoza katika njia sawa kwa hisani yake.
Zaburi 34:18: Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.
Zaburi 51:10: Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti.
Zaburi 51:12: Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii.
Zaburi 80:3: Uturekebishe, ee Mungu; utuangalie kwa wema, nasi tutaokoka.
Zaburi 85:4: Uturekebishe tena, ee Mungu mwokozi wetu; uiondoe chuki uliyo nayo juu yetu.
Zaburi 86:5: Wewe, ee Bwana, u mwema na mwenye kusamehe; mwingi wa fadhili kwa wote wakuombao.
Zaburi 147:3: Anawaponya waliovunjika moyo; na kuwatibu majeraha yao.
Methali 28:13: Afichaye makosa yake hatafanikiwa; lakini anayeungama na kuyaacha atapata rehema.
Isaya 40:29: Yeye huwapa uwezo walio hafifu, wanyonge huwapa nguvu.
Yeremia 15:19: Mwenyezi-Mungu akajibu: “Kama ukinirudia nitakurudishia hali ya kwanza, nawe utanitumikia tena. Kama ukisema maneno ya maana na siyo ya upuuzi, basi utakuwa msemaji wangu. Watu watakuja kujumuika nawe, wala sio wewe utakayekwenda kwao.
Yeremia 30:17: “Nitakurudishia afya yako, na madonda yako nitayaponya, japo wamekuita ‘Aliyetupwa’, ‘Mji Siyoni usio na wa kuutunza!’
Yeremia 33:7: Nitawastawisha tena watu wa Yuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo awali.
Nahumu 2:2: Mwenyezi-Mungu anamrudishia Yakobo fahari yake, naam, anawapa tena Waisraeli fahari yao, ingawa wavamizi hawakuwaachia kitu, hata matawi yao ya mizabibu waliyakata.

Utajuaje kanisa la kiroho
Kigezo cha kwanza ni mwonekano wa nje wa waabuduo wa mahali hapo
. Ukiona mwonekano na mazungumzo ya waabuduo si ya kiMungu, kwamba wanazungumza kidunia na wanavaa kidunia, kiasi kwamba hauoni tofauti na mtu anayekwenda kwenye mziki na anayeshiriki mahali hapo, basi tuchukua tahadhari hapo siyo sehemu sahihi.

Vile vile, mafundisho yanayofundishwa mahali pale kama hayalengi TOBA, na UJIO wa PILI wa BWANA YESU, na UTAKATIFU wa MWILINI na ROHONI, jua hapo siyo sehemu sahihi.

Lakini kama kanisa lina vigezo hivyo vya Utakatifu wa kimafundisho na kimwonekano, basi ndani yake watakuwepo watu wamwitao Bwana kwa moyo safi. Jiunge hapo na utaona mabadiliko makubwa ya kiroho ndani yako.

Fanya maombi ya kurejesha nguvu ya kiroho

Katika maombi ya kurejesha nguvu ya kiroho utakayofanya, Mungu hatazamii kukurudisha katika hali halisi uliyokuwa nayo kabla ya kushindwa, au ile hatua ambayo ulikuwa dhaifu kabisa. Mungu anatazamia kurejesha na ZAIDI.
 
Mimi nataka sana nguvu ya Roho Mtakatifu inijilie kwa nguvu saana. Lakini bila kujiambatanisha na makanisa. I need to experience that power mimi kama mimi yaani. Yaani kama Yohana Mbatizaji, au Yohana wa kisiwa cha Patmo.
 
Umefundisha kwa uzuri sana shukrani
 
Ubarikiwe sana.
 
Sidhani
 
Back
Top Bottom