ku recover hizo video inategemea,je baada ya kudelete uliweka data zingine kwenye hiyo storage devices? kama hujaweka probability ya kuzirecover ni 98%.download easus data recovery