VictoriaGreenHerbal
Member
- Mar 7, 2025
- 61
- 84
Lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta kama nta yanayopatikana kwenye damu na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida, lehemu ni muhimu sana kwa:
- Kuta za seli,
- Homoni za mfumo wa uzazi,
- Mishipa ya fahamu,
- Na hata kutengeneza baadhi ya vitamin.
Kwa Nini Lehemu Huweza Kuwa Hatari?
Lehemu ni muhimu kwa mwili, lakini ikizidi kiwango, husababisha madhara makubwa kiafya. Kwa kweli, asilimia 75% ya lehemu hutengenezwa na ini, na asilimia 25% hupatikana kupitia vyakula tunavyokula. Tukizidisha mafuta haya, mishipa ya damu huziba, hatari ya shinikizo la damu na magonjwa ya moyo huongezeka.Tiba na Njia za Kupunguza Lehemu
Ili kupunguza kiwango cha lehemu mwilini:✅ Punguza uzito kupita kiasi.
✅ Kula vyakula vya asili (matunda, mboga, nafaka zisizokobolewa).
✅ Epuka uvutaji sigara na unywaji pombe.
✅ Fanya mazoezi ya mara kwa mara ili mwili utoe jasho.
✅ Kula mlo kamili unaoboresha afya ya mwili.
Kwa kuzingatia haya, kiwango cha mafuta mwilini hupungua taratibu na afya inaimarika.
Unahitaji Suluhisho la Haraka?
Kama tayari una cholesterol nyingi na unataka kupunguza mafuta mwilini kwa matokeo ya haraka, njoo ofisini kwetu Mmwanza upate dawa bora kabisa itakayokuletea matokeo ndani ya siku sita tu.👉 Piga simu au WhatsApp sasa hivi: +255747558143 Kwa wateja walio mbali, tunakutumia dawa popote ulipo.