Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Kijana,ushindwe kabisa..😅

Bibi yako akiona unavyonipa aibu atasusa kupokea mabusu.
Kwanza una swaga mbaya, pili sura mbaya 😄🤣.
Screenshot_20230608-232501.png
 
Ndio shemeji yako kanipendea hivi lakini...!

Mdogo gani unamdomo mchafu hivyo?ndio maana yule binti kaepuka ng'ombe.🤣
Hii ng'ombe ndio iliyo muepuka yeye 😂😂, .Hata cr7 asinge kubali😂

Nishaona dawa yako ni kukuchana ukweli😂, since uondoke na remaining chenchi za familia🤣.
 
Ok,nimeelewa ni rangi zenye taste.

Wait nikatafute rangi,

Hazina lugha nyingine?
1.binzari nyembamba
2.Abdala sinni

Kutopata hizi naona sitokamilisha biryan,nitapika vitu za ajabu.
Sasa ukipika wewe.....au basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom