jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,016
Maelezo mazuri zaidi yapo katika website yao, lakini wana masharti ka waganga wa kienyeji. Mara mia uombe viza ya Schengen ambayo inakupa uwezo wa kutembelea nchi zaidi ya 25 za maana (isipokuwa Uingereza).Wakuu naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?
Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK tafadhali tuwasiliane kwa pm.
Mimi nipo Tanzanania.
Maelezo mazuri zaidi yapo katika website yao, lakini wana masharti ka waganga wa kienyeji. Mara mia uombe viza ya Schengen ambayo inakupa uwezo wa kutembelea nchi zaidi ya 25 za maana (isipokuwa Uingereza).
Kweli kabisa. Na wenzetu wazungu, kila kitu kiko katika maandishi, tena huenda akapata assistance nzuri kabisa mtandaoni kuliko uzoefu wa wanachama wa JF. All in all atatakiwa kujaza kila kitu online, kwa hio maandishi hayakwepekiTatizo ni kua kuweka huo muda ili kusearch hizo data ndio tatizo. Sasa na sisi wabongo tulivyo na allergy na maandishi..
Pole mkuu,jamaa ametuachia bad reputation.Huwezi kupata visa ya kuingia na kuishi UK kwa wewe mbongo. Hiyo futa kwenye kichwa chako otherwise kama ulisoma /unaenda kusoma UK.
Jipange tafuta pesa kisha pitia Syprus, Greece, Hungary, Bulgaria. Then stay there for not less a year, kisha utaomba resdent permit(RP) then utaweza ingia UK kiutamuutamu na kupiga life. Nina jamaa yangu yupo Reeds but naogopa kukuconnect nae maana nikishawahi kufanya wema huo kisha jamaa akamuibia mshikaji vitu kibao akala kona to Wales but jamaa alimkamata after 3months.
NOTE:Maisha ya UK ni very tight so Jipange.
Tatizo ni kua kuweka huo muda ili kusearch hizo data ndio tatizo. Sasa na sisi wabongo tulivyo na allergy na maandishi..
Karibu tubebe boxWakuu naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?
Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK tafadhali tuwasiliane kwa pm.
Mimi nipo Tanzanania.
Hahaaa,mkuu toa miundo mbini yakufika huko..Karibu tubebe box
Miundo mbinu ni urefu wa kamba yako, Ila ingia ki uanafunzi. Kisha unabadili unga kuwa mchele.Hahaaa,mkuu toa miundo mbini yakufika huko..
Inabidi niwe na invitation letter kutoka chuo husika?na vp bank statement kama mwanafunzi inahitajika iwe na at least kiasi gani?Miundo mbinu ni urefu wa kamba yako, Ila ingia ki uanafunzi. Kisha unabadili unga kuwa mchele.
I think unabidi kuwa na funds za kutosha, wanataka ulipie ada full plus accommodation yaani rent ya Nyumba full Na uwe Na pocket money ya at least miezi 6. Ambacho hawataki ni wewe uje halafu utegemee Kazi kulipia chuo Na mengineInabidi niwe na invitation letter kutoka chuo husika?na vp bank statement kama mwanafunzi inahitajika iwe na at least kiasi gani?
Huo ni mtihani ndugu.I think unabidi kuwa na funds za kutosha, wanataka ulipie ada full plus accommodation yaani rent ya Nyumba full Na uwe Na pocket money ya at least miezi 6. Ambacho hawataki ni wewe uje halafu utegemee Kazi kulipia chuo Na mengine
Ni do able, course za chuo ni around £5000 hadi £7000Huo ni mtihani ndugu.
Mkuu kama nina pesa hii nikikomaa bongo si ninatoka?labda nitumie bank statement ya mtu.Ni do able, course za chuo ni around £5000 hadi £7000
Rent ni £5200 kwa mwaka
Mizunguko Nauli Kula kama £100 kwa wiki. £5200
Hapo unahitaji £17400 *3200= 55,680,000 madafu.
Ova
Hiyo ni gharama ya mwaka mmoja, Na wao kwa sasa hawakupi visa ya course nzima, wanatoa kidogo kidogo. Mfano course ya miaka mitatu wanakupa visa ya mwaka mmoja mmoja mara 3. Na kila mwaka unatakiwa kuonesha hicho kiasi au uwe umeshalipia gharama husika + visa application fees.
Kwa aina ya shida ya mtoa mada! Atapata msaada na ushauri mzuri JF kuliko huko website ya U.K, unadhani huko kwa Website atakuta Maelezo yanayomwambia hawezi kupata Visa direct labda iwe shule? Na kuwa Kama anataka aanzie kuingia kupitia nchi maskini za eastern Europe then after one year ndo anaweza kuzama U.K?.......mtoa mada komaa hapa kwanza utapata msaada then ndo unaweza kutembelea immigration website ya U.KKweli kabisa. Na wenzetu wazungu, kila kitu kiko katika maandishi, tena huenda akapata assistance nzuri kabisa mtandaoni kuliko uzoefu wa wanachama wa JF. All in all atatakiwa kujaza kila kitu online, kwa hio maandishi hayakwepeki
Mkuu kama ulisoma UK ukarudi bongo ndio inakuaje ?? Ufanyaje ili upewe resident permit ??Huwezi kupata visa ya kuingia na kuishi UK kwa wewe mbongo. Hiyo futa kwenye kichwa chako otherwise kama ulisoma /unaenda kusoma UK.
Jipange tafuta pesa kisha pitia Syprus, Greece, Hungary, Bulgaria. Then stay there for not less a year, kisha utaomba resdent permit(RP) then utaweza ingia UK kiutamuutamu na kupiga life. Nina jamaa yangu yupo Reeds but naogopa kukuconnect nae maana nikishawahi kufanya wema huo kisha jamaa akamuibia mshikaji vitu kibao akala kona to Wales but jamaa alimkamata after 3months.
NOTE:Maisha ya UK ni very tight so Jipange.