robllynly
Member
- Aug 11, 2014
- 41
- 6
Kweli huyu dada kawashika pabaya, why aeleze haya now?
Ni kwa ajili ya kukuza soko lake la online dating. Siku zile kawashawoshi midildo, wasio mbayuwayu wamenunua weeeee, sasa imekuwa kusaka waume. Anyway sio mbaya as long as mtu yuko happy.
Ila kwa mtindo huu wanawake wa kitz tuna safari ndefu, kuishi kwa mategemeo ya kukombolewa na mwanamme thru ndoa? Unyanyaji wa kijinsia siuoni ukiisha, maana hapa hata ushindwe huwezi kubali kuachika.
Afu huyu mange katufanya wajukuu wake, fairy tale hii, cd hii imeruka mno. Lazima kuna mahali mbu nye ilitumika kukava other costs, hivi 80% iende kwenye accomodation, 20% ikave kuanzia nauli, chakula, mavazi, hangouts na kila kitu?
Afu na hapo kwenye fulani kamu introduce kwa fulani, ili huyo fulani akam introduce kwa director, na director akam introduce kwa hubby?!!!!!
Am too old fashioned kuamini haya, from Deira to Jume.. Beach within a year? Kwa rate ile ya maendeleo, alitakiwa kuwa walau na kiwanda kimoja au viwili hata kama ni vya toothpick na cottonbug.
Daahh gud reasoning,I lyk u kiukweli,hata mm niliyaona hayo mashimo aliotuachia,niliona matumiz yalikuw mengi ila pesa ndogo,so nn kiliendelea apo.......mm na ww hatujui.