Fanya kazi na wewe utume zawadi acha kulamba ukoko!!Habari.
Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya Hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao Hadi Huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali.
Inatakiwa ufanyeje Ili uwapate hao watu au uipate hiyo connection.
Naomba kujuzwa
Sio lazima aliwe anatafuta marafikiFanya kazi na wewe utume zawadi acha kulamba ukoko!!
hivi ni kwa nini wazungu wengi wanapenda sana ku volunteers sana kuliko sisi , nimewashuhudia sana.Anzisha organization aswa charitable org ambayo wazungu watakuwa wanakuja ku volunteer Kisha watakuwa marafiki zako
Wanarefresh baada ya kazi za muda mrefu,wengi hawana wategemezi ivyo pesa zao wanaona watumie kujifunza vitu vipya na kufurahia maishahivi ni kwa nini wazungu wengi wanapenda sana ku volunteers sana kuliko sisi , nimewashuhudia sana.
kufunga safari kutoka Ulaya kuja hata kufagia au kutoa huduma yoyote ya kibinadamu kwa wahitaji ni jambo jepesi sana kwao.
Jihadhari na marinda yako mkuu... hakuna cha bureHabari.
Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya Hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao Hadi Huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali.
Inatakiwa ufanyeje Ili uwapate hao watu au uipate hiyo connection.
Naomba kujuzwa
Mkuu eembu acha tamaa bhn
Ni wazingu wachache wenye urafiki usio na shaka kwa mtu mweusi..