Jinsi ya kupata iphone 5 niliopoteza

Jinsi ya kupata iphone 5 niliopoteza

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
119
Wakuu habari,
nlipoteza iphone 5 yangu around mwezi hivi umepita nikitaka kuipata ntafanya nini wakuu msaada tafadhali
Asante.
 
Kama ilikuwa icloud on ondoa shaka waweza ipata tu!!!
 
ulikua enabled mkuu natumia njia gani kuweza kuipata

Log in kwenye icloud yako kwa pc afu bofya find my iphone then utaona imekulea location ilipo simu yako kwa ramani kama ya google map, utaona vitufe vya kubofya ili simu ipige alarm huko iliko ama kuilock huko iliko ili isitumike.
 
Pia unaweza tumia iphone nyingine ya app iitwayo find my iphone
 
Mimi namshauri usii-Lock tumia hiyo ramani itakuonyesha ilipo.
 
Log in kwenye icloud yako kwa pc afu bofya find my iphone then utaona imekulea location ilipo simu yako kwa ramani kama ya google map, utaona vitufe vya kubofya ili simu ipige alarm huko iliko ama kuilock huko iliko ili isitumike.

Mkuu ni kipi kinatumika unapotaka kutafuta IPhone yako, Yaani natakiwa kunote email address au imei number za iPhone ?
Tusaidiane ili siku zikiibiwa tuwe na details zitakazo tusaidia kutafuta.
 
Una-sign in apple id yako kwenye iCloud kwa kutumia computer, ama unatumia find my iphone app. Muhimu hakikisha simu yako umeswitch on setting ya find my iphone ndo unaweza kuiona
 
Cha msingi find my phone iwe on....na aliyeiiba simu awe anatumia...kwamba iwe ina access ya internet ndo utaweza kupata location...otherwise uilock uprovide information zako na namba zako kwamba umeibiwa iyo simu na akutafute kupitia izo namba...kila akiwasha simu atakua anakutana na huo ujumbe
 
Nimejaribu kitu kimekubali yaani inakuonyesha mpaka nyumba yaani exactly kabisa mahali ilipo hasa ukiweka satellite mode
 
Mkuu ni kipi kinatumika unapotaka kutafuta IPhone yako, Yaani natakiwa kunote email address au imei number za iPhone ?
Tusaidiane ili siku zikiibiwa tuwe na details zitakazo tusaidia kutafuta.
www.icloud.com itakupa option ya ku-sign in Iclouds email unaingiza itakuja option kibao mfano photo, find my Iphone alafu una click find my iphone utaona kuna sehemu pa kubonyeza alarm au kufuta info zote yaani kimsingi information
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom