Jinsi ya kupata Free Courses kutoka Udemy

Anayesema kwamba huu ni wizi ukute yeye kwenye PC yake anatumia Pirated Windows, Pirated Microsoft Office, na anadowload movies kutoka kwenye torrent ambayo hajawahi kuilipa hata senti tano.Acheni double standards nyie, sisi ni third word country hela tuliyonayo ni ya kununua chakula tu, hivyo vingine tutatumia bure tu kwa namna yoyote.
All in all mtoa mada nashukuru sana kwa kuleta hii thread, itatusaidia sana watu wengi kupata courses za Udemy bure
Stupid Accusation!
Kwa taarifa yako tu Major works zangu ni kwenye Mac na Linux. Hata Windows kwenye Machine yangu ilikuwa ni genuine Windows 7 upgraded to Genuine Win 10 via MS Offer. Na nilianza kununua software kitambo sana. So kama wewe ni mwizi usipende kuwashirikiwa wenzako kwenye wizi wako.

Hapo kwenye bold ni utetezi kama wa vibaka wengine tu. Kuwa maskini sio justification ya kuwa mwizi. Tafuta hela lipia. Kama huwezi usitafute visingizio kujustify wizi wako!
 
kuna Linux na kuna Open source office bundle kama Libre...Haulipii kitu!
Kuiba sio lazima Mkuu...kama unaona haifai sio kwamba alternatives hakuna...Thanks to the The Free Software Foundation
Uko sahihi. Sina msuli wa kulipia adobe Suite so natumia Gimp na other FOSS. Libre Office ni de facto Editor kwa kila kitu. Sema mtu akitaka kuiba visingizio hakosi!
 
Mkuu stephano nina vijiswali kadhaa naomba unisaidie..

1. Udemy naweza pata Course kuhusu photo editing n.k kuzitumia hizo Adobe n.k

2. Na vipi kuhusu wale Lynda.com wao wapoje na tofauti na udemy IPO wapi na ipi Bora kutumia?

3. Unapokua umajifunza hizi photo editing n.k kuna ulazima wa kuwa na genuine camera au kwa mwanzo unaweza tumia camera hata ya simu tu?

4. Ushauri kwa mtu anaetaka kuingia huku ktk photo editing ( especially mimi ) na wengine watakao / walio interested na hii namaanisha:
* Aanzie wapi
* Vya kuzingatia
* Mahitaji
* Applications to have n.k

Wakati huu ajira zilivo ngumu na bdo Niko benchi, naona ni vyema kutizama mlango mwingine kwanza / skill ntayokua nayo / kuniwezesha kujiajiri. Samahani mkuu kwa kuwa nje ya uzi.. asante.
 
Msaada.kwa anaeanza kujiregister udemy,atafanyaje mpaka aanze kuuza kozi.
Naombeni A to Z steps mpaka payments verifications na kila kitu
 
Stupid Accusation!
Kwa taarifa yako tu Major works zangu ni kwenye Mac na Linux. Hata Windows kwenye Machine yangu ilikuwa ni genuine Windows 7 upgraded to Genuine Win 10 via MS Offer. Na nilianza kununua software kitambo sana. So kama wewe ni mwizi usipende kuwashirikiwa wenzako kwenye wizi wako.

Hapo kwenye bold ni utetezi kama wa vibaka wengine tu. Kuwa maskini sio justification ya kuwa mwizi. Tafuta hela lipia. Kama huwezi usitafute visingizio kujustify wizi wako!
Mkuu hajaku accused angalia neno UTAKUTA
 
Kwa nini utake kusoma kozi ambayo huwezi kulipa? UDemy kuna kipindi wanatoa ofa ya karibu kila kozi $19. Sasa kama kozi ya $190 inashushwa mpaka $19 na bado huwezi kulipia, tatizo sio pesa. Bongo Tatizo letu ni Wizi. Vibaka wa mtandaoni. Mengine hayo ni chai tu!
Sijui hata umeongea madudu gani...ww ambaye sio mwizi kuna mtu kakunyima kulipia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu stephano nina vijiswali kadhaa naomba unisaidie..

1. Udemy naweza pata Course kuhusu photo editing n.k kuzitumia hizo Adobe n.k

2. Na vipi kuhusu wale Lynda.com wao wapoje na tofauti na udemy IPO wapi na ipi Bora kutumia?

3. Unapokua umajifunza hizi photo editing n.k kuna ulazima wa kuwa na genuine camera au kwa mwanzo unaweza tumia camera hata ya simu tu?

4. Ushauri kwa mtu anaetaka kuingia huku ktk photo editing ( especially mimi ) na wengine watakao / walio interested na hii namaanisha:
  • Aanzie wapi
  • Vya kuzingatia
  • Mahitaji
  • Applications to have n.k

Wakati huu ajira zilivo ngumu na bdo Niko benchi, naona ni vyema kutizama mlango mwingine kwanza / skill ntayokua nayo / kuniwezesha kujiajiri. Samahani mkuu kwa kuwa nje ya uzi.. asante.
Nitamani hili swali lijibiwe mwenyewe nataka nichukue course ya film making & video editing
 
haya mambo ya online courses wengine yanatuoigaga hatuelewi yanafanyika vipi
..mie nataka kujua, je unapojiunga na masomo ya mtandaoni kunakuwa na vigezo sawa na vile anavyotakiwa kuwa navyo mwanafnz anaeingia level fulan ama course hiyo?

..je izo hutolewa kwa muda sawa na vyuo vifanyavyo?
..vip kuhusu tests, assignments znafanyika vip?
..je baada ya kumaliza mafunzo hayo, kuna kuwa na orientation ama presentation za kuona uwezo wako umefikia wapi? na vipi kuhusu fields za ayo masomo?
..swal la mwisho, vp baada ya kuhakikishiwa kuwa umemaliza kuna kuwa na any certification ya kuproof kuwa umepata ujuzi toka tahasisi fulan ama chuo fulan, hi ili kurahisisha pale unapotaka kuwaaminisha watu wajue uwezo wako??

mwenyeajibu ya haya maswal
 
Mtazamo wangu
Mostly hizi online courses ni kwaajili ya skills tu kwamfano hii Udemy sidhani kama Kuna mitahani na kama Ipo kwa ajili ya kukubust,na vyeti vyake sidhani kama unakuwa Qualified sawa na eliepitia chuo .
Muda unatofautiana kinacho Fanya chuo tusome muda mrefu Kuna kuwa na Mambo mengi ya ku-carver lkn huku unapewa tu vitu basic so technically muda hauwez kuwa sawa na chuo ,ndio maana huku unajuta course nyingi requirement zao wanataka uwe na basic knowledge na unachotaka kusomea labda zile nyepesi.

Certificate Kuna baadhi ya vyuo unapata mfano Kuna jamaa alisoma course ya online chuo flani kipo USA kapata certificate ambacho kapata kazi serikalini.

Yani hii course inatakiwa huwe umeshapita sehemu Sasa labda unahitaji kuongeza maujuzi lkn eti umetoka sijui six umerukia huku ,na ukategemea kuwa sawa na mtu aliyepitia UDSM maybe..............
 
Stupid Accusation!
Kwa taarifa yako tu Major works zangu ni kwenye Mac na Linux. Hata Windows kwenye Machine yangu ilikuwa ni genuine Windows 7 upgraded to Genuine Win 10 via MS Offer. Na nilianza kununua software kitambo sana. So kama wewe ni mwizi usipende kuwashirikiwa wenzako kwenye wizi wako.

Hapo kwenye bold ni utetezi kama wa vibaka wengine tu. Kuwa maskini sio justification ya kuwa mwizi. Tafuta hela lipia. Kama huwezi usitafute visingizio kujustify wizi wako!
Unajifanya lijuaaaji kumbe pimbi tu.
 
Mtazamo wangu
Mostly hizi online courses ni kwaajili ya skills tu kwamfano hii Udemy sidhani kama Kuna mitahani na kama Ipo kwa ajili ya kukubust,na vyeti vyake sidhani kama unakuwa Qualified sawa na eliepitia chuo .
Muda unatofautiana kinacho Fanya chuo tusome muda mrefu Kuna kuwa na Mambo mengi ya ku-carver lkn huku unapewa tu vitu basic so technically muda hauwez kuwa sawa na chuo ,ndio maana huku unajuta course nyingi requirement zao wanataka uwe na basic knowledge na unachotaka kusomea labda zile nyepesi.

Certificate Kuna baadhi ya vyuo unapata mfano Kuna jamaa alisoma course ya online chuo flani kipo USA kapata certificate ambacho kapata kazi serikalini.

Yani hii course inatakiwa huwe umeshapita sehemu Sasa labda unahitaji kuongeza maujuzi lkn eti umetoka sijui six umerukia huku ,na ukategemea kuwa sawa na mtu aliyepitia UDSM maybe..............
shukrani sanaa kwa msaada wako, maana hapa nlkiwa nampango nitafte online courses za telecommunications & IT, kama ni hivyo kumbe ni rahisi tu
 
Huwa kuna kipindi kozi za udemy huuzwa mpaka $11, tembelea mara kwa mara na ujisajili na udemy ili upate news letters za punguzo la bei.
 
Kwa nini utake kusoma kozi ambayo huwezi kulipa? UDemy kuna kipindi wanatoa ofa ya karibu kila kozi $19. Sasa kama kozi ya $190 inashushwa mpaka $19 na bado huwezi kulipia, tatizo sio pesa. Bongo Tatizo letu ni Wizi. Vibaka wa mtandaoni. Mengine hayo ni chai tu!
Kwa hio dola 19 wanakupa na cheti?
 
Naikubali sana Edex ila ni wahuni, wanakupa free access kama robo kozi kisha wanaziba mpaka ulipie ila they are very interactive.
 
hizi ni course zenye free Coupon kwa wakati fulani!

Kuna course nzuri hauwezi pata kwenye hiyo site ulotoa!

Ukitaka kupata baadhi ya Premium courses zenye Reviews na Ratings nzuri tembeleahii tovuti hapa chini!
Itakudai u disable Ad block kama unaitumia!

Ahsante sana Mkuu
Nalog off
 
Back
Top Bottom