Alikuwa anaigiza na hakutaka kusema ukweli sababu hajiaminiKuna mshkaji mnaijeria huko urusi alipata demu mkaliiiii kipindi cha summer, demu akamwambia waende kuogelea jamaa akakubali ila alikuwa hawezi kuogelea, wakaenda moscw river una kina kirefu sana demu kajitosa kaogeleaaa katoka, jamaa naya kajitosa .. Dadeki .. Akanywa mimaji akafa.
Mafala tena....ukiona huna hela na demu kajuzimikia jua uko smart upstaurs, una vision, hardworker, creative na una confidence.
Mademu hawana muda na mafala
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mafala tena....
Kuchunwa kunauma
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]