jinsi ya kuongeza ukubwa wa internal memory kwenye simu.

jinsi ya kuongeza ukubwa wa internal memory kwenye simu.

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
53
Naomba kujua kama inawezekana, na njia za kufata ili niweze.
 
Internal memory ipo embedded kwenye board siyo rahisi kuiongeza, ndo maana simu yenye memory kubwa na bei yake huongezeka kulingana na ukubwa wa memory husika.
 
Hili haliwezekani ni hardware iliyo built into the phone.
 
Back
Top Bottom