Jinsi ya kuongeza chembe hai nyeupe (WBC)

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Naomba kufaham ni kwa jinsi gani mtu anaweza akaongeza chembe hai katika mwili wake kwa wingi??
 
na pia kama kuna atakayenijulisha WBC ndio CD4 ningefurahi pia
 
Ingawa kuna dawa za kuongeza hizo CD4
pia ukipata majani ya mlonge ukayachemsha na ukayanywa kila siku utaongeza kinga kwa speed nzuri ndani ya mwezi.
Maziwa ya soya yanahusika pia katika kuongeza CD4. nakushauri pia umuone mshauri wa lishe akupe abechede za lishe nzuri ya kupandisha CD4 kwa speed nzuri.
ukitaka kuzipunguza hizo kinga just legeza zipu yako kwa kila apitaye na usisite kutualika msibani
 
Lishe bora mwanangu ndio jibu...veggies and more veggies, go with different colors, broccoli, hoho za zangi nyekundu, yellow, orange, grees hasa mchicha....na uji wake wa amaranth....soya kama ulivyoambiwa hapo juu nk nk....plus see nutritionist or go to Green World....or Forever Living
 
Back
Top Bottom