mwakij
Member
- Feb 21, 2013
- 16
- 2
sasa jaribu hii download hii tools and then fata installation ukishindwa nipigie kwenye namba hii nikuelekeze 0713559075 link ya kudownload tools ni Download WGA Remover 1.3
Natumia Window 7 professionalUnatumia windows ipi
Naomba msaada wa kutatua hli tatizo,Window is not genuine
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Jana imeniandikia windows is not genuine. Msaada tafadhali
habari ya weekend wana jamvi naomba msaada kwa it na wajuzi wengineo. Nina kamini laptop kangu n100sp kananisumbua window. Window ilishawahi kucolpse mara mbili na hii ya sasa tangu jana imeniandikia windows is not genuine. Msaada tafadhali