kivipi? ikishakufa njoo hapa hapa urekebisheUpotoshaji huu
washa camera utafute icon ya setting > shutter sound > muteNaomba njia ya kuondoa sauti ya kamera kwenye simu tajwa hapo huu. Asante.
Hiyo option hakunawasha camera utafute icon ya setting > shutter sound > mute
mbona ni kama smart4n nyngne 2?
Simu nyingi za tecno hazina hiyo option cha kufanya ni kupunguza sauti ya muito mpaka mwisho wakati unataka kupiga picha hapo camera haitatoa mlioHiyo option hakuna
tecno diana.Simu nyingi za tecno hazina hiyo option cha kufanya ni kupunguza sauti ya muito mpaka mwisho wakati unataka kupiga picha hapo camera haitatoa mlio