Jinsi ya kuondoa mawazo ya kuachwa na mpenzi

Pole sanaa! Epuka kukaa peke yako na shiriki katika mazoezi na usisahau kufanya ibada.
Ibada? Hiyo ndo hatua aliyopaswa kuanza nayo, kabla hajaingia kwenye mahusiano, lakini pole chief' hapo tafuta'Nyanda za John Mtembezi' a.k.a John Walker. Kwa faraja zaidi.
 
Tiba ya matatizo yako ni wewe mwenyewe hakuna atakaye maliza matatizo yako. keep busy somavitabu vya kukujenga vyenye positive issue
 
Naimani una vitu vya msingi vya kufanya kuliko kumfikiria yeye alafu baadae ukajutia muda uliotumia kumfikiria yeye bora ungefanya mengine
 
Naomba Mnisaidie Jinsii Ya kupunguza Mawazo Ya kuachwaa na Mpenzii
Hayaondoki haraka haraka kama unavyodhani. Huchukua muda na juhudi.

- Kitu cha kwanza kubali kuwa umeachwa, yes umeachwa,ndio hivyo hayupo. Lia , tukana, kuwa na hasira, ukilia hizo emotion za machungu ndio huondoka kichwani.

- wekeza nguvu zako kwenye kujenga maisha. Kama kuna project au hobbie ulikuwa nayo kabla ya kuwa naye na ulivyo mpata ukaiacha, irudie sasa. JIweke bize ,usipende kukaa mwenyewe, epuka kusikiliza nyimbo za mapenzi.

- Futa kumbukumbu zake, kama picha, au kama kuna memory mlishare ni vyema kama kunauwezekano hata hiyo simu usitumie.

Sio rahisi. Lakin try, try, ndani ya miezi miwili hiyo hali itapungua mno kama si kuisha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom