Jinsi ya Kuondoa Ads Kwenye App Yoyote ya Android

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
354
250
Habari wana JF, Natumaini wote ni wazima na mnaendelea na harakati zenu kama kawaida. Kwa siku ya leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ambayo unaweza kutumia kuondoa matangazo kwenye app yoyote ile ya Android, njia hii ni rahisi na haitaji ujuzi ila unachohitaji ni simu yako ya Android pamoja na bando. Unachoatakiwa kufanya ni kudownload App iliyotajwa na utakuwa uko tayari kuondoa matangazo kwenye app yoyote.

Njia hii pia inasaidia kutumia app za kulipia, zile ambazo zinakuwa na vifurushi ndani yake kama vile Game mbalimbali ili kupata Coins pamoja na app zile zenye vifurushi vya kulipia ndani yake. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie hatua hizi.


Kama una swali unaweza kuuliza hapo chini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom