Muda mrefu nimekuwa nikifikiria kufungua duka dar! la kuwasaidia wadau kununua na kuuza vitu kwenye Ebay!! Nina account ya Ebay UK na nafahamiana na watu wanaoleta mizigo bongo!! so Mdau kama unataka naweza kukusaidia ila nitaweka commision ya 25%; usafiri + ushuru juu yako!!
mie nimeshop saana ebay kuanzia electronics, nguo, viatu, nk, hata saa hii mizigo yangu mingine ipo njiani, kama mtu upo bize na mambo ya kwenda madukani inasaidia sana halafu vitu vingi vinapatikana humo so its very easy to get and shop as well.mie huwa natumia VISA card ya baclays..wauzaji ni wengi na from different countries, ila uwe makini na kitu unachoagiza maana apart from computer accessories na vile vingine, bidhaa *zingine lazima ulipie custom tax na VAT so inabidi uje before kuorder, juzi eti nimeagiza IPAD ikapitia posta wakaniambia nilipe VAT wee nilikomaa nao hadi nikapewa bila kulipia sijui walijua sijui sheria za nchi ama vipi... .ila online shopping inaweza kukufanya uwe addicted hahaha so be careful*
Kwa uzoefu wangu nilioupata kuhusu ebay kwa hapa bongo tatizo la kwanza ni jinsi ya kufanya malipo kwa paypal.
Mimi nilikuwa na kadi ya kawaida ya nbc nikaambiwa lazima niwe na visa, na baada ya kupata visa bado nilitakiwa nijirejista na mlolongo mrefu nikachemka.
ilibidi nimtumie mdogo wangu kwa western union poland kisha akaziingiza ktk acc yake akafanya malipo ndio mzigo ukatumwa kuja bongo ukitokea hong kong,ilikuwa ni lcd screen+tools ya sonyericsson, sikutozwa kodi.
Swala la kutuma afrika au wapi ni swala la seller mwenyewe, na maranyingi ktk description wanaeleza kabisa kama wanatuma word wide au sehemu flani tu,
Matatizo ya afrika ni kuwa posta zetu wanaweza kuiba mzigo.
Swala la kodi nadhani linategemeana na ukubwa wa kitu.
Pia naona kunavitu wapo cheap sana mfano hiyo lcd touch screen nilienda kwa wahindi posta pei yao ilikua 150,000 wakati mimi nimeinunua ebay dola 10 plus dola 2 ya usafiri na mzigo ulifika ndani ya wiki mbili