Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Nahisi misamiati imekufanya ukasirike kwa kutoelewa chochote nilichoandikaPu. MBA. Vu kabisa
heri ukae kimya tu kama una doubt ambacho kimetestiwa na kinapiga kaziKila mtu angenunua acha kupotosha watu
umeelezea vizuri sasa swali langu unafanya haya kwaajili ya nini? umaarufu au nini? maana watu wanaotaka views wengi ni kwamba wanataka wapige mpunga kupitia adsense. hebu nieleweshe faida ya hizo fake views mpaka nispend hela kununua na kuweka account katika risk ya kufungiwa maana youtube wakidetect unatumia bot ujue unakula banONYO: USITUMIE NJIA HII KWA ADSENSE
Mwagona....ππ, Salamu ya kunyakyusa hiyo karibuni Mbeya jamani jiji ambalo huwezi lala njaa labda uwe mvivu kupitiliza.
Hakuna siri tena kama unataka views youtube ni hela yako tu tena ya madafuππ, Views 1,000 utapewa kwa buku mbili hili lenye simba, Ziwe views za vevo kama za kiba ama za kawida ni wewe tu, Comments pia zipo utaweka comments utazotaka zitokee kwa bei ya kutupa, Likes na dislikes pia kwanini zisiwepo, Ziipo sana tu kwa bei chee, Cha kufanya tembelea smmstore.pro then fata maelekezo yake ya kuweka hela then utachagua wewe mwenyewe kama ni views, like ama comments utazotaka....Mimi aoendelea kuweka hela kwa bitcoins ambazo huwa nazinunua hapa https://remitano.com/tz then namtumia kwenye adress yake, Nimewasaidia baadhi ya wasnii hapa mbeya kuboost video zao na wachache wa dar..
Damn, nimesahau kwama wabongo bila ushahidi zinabaki kuwa tetesi, Hii video nmeweka juzi na kila kitu kuanzia comments, likes na views ni mimi na nimetumia almst dola 7
umeelezea vizuri sasa swali langu unafanya haya kwaajili ya nini? umaarufu au nini? maana watu wanaotaka views wengi ni kwamba wanataka wapige mpunga kupitia adsense. hebu nieleweshe faida ya hizo fake views mpaka nispend hela kununua na kuweka account katika risk ya kufungiwa maana youtube wakidetect unatumia bot ujue unakula ban
Ok nimekusoma but very risk maana youtube kila siku wanaongeza security na wanaboresha alogarithm zaoCompetition ya kushika namba nzuri youtube ni kubwa mno...leo hii ukiupload video ya dr shika unaweza kukuta upo page ya 8 huko..kama unataka utokee page ya kwanza kule juu kabisa nunua hizo views na baada ya mda mchache utapata views za watu halisi ambazo pia zinaweza kupata hela adsemse
Mtoa mada amesha toa warning kabisa, first paragraphCompetition ya kushika namba nzuri youtube ni kubwa mno...leo hii ukiupload video ya dr shika unaweza kukuta upo page ya 8 huko..kama unataka utokee page ya kwanza kule juu kabisa nunua hizo views na baada ya mda mchache utapata views za watu halisi ambazo pia zinaweza kupata hela adsemse