Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Yaani madalali wamekuwa kero miji mingi Tanzania hasa jiji la Dar, wiki chache zilizopita gazeti moja liliripoti kuwa kuna madalali mpaka ikulu wanaotapeli watu kwa kusema wanawatafutia ajira ofisi ya raisi.
Sasa wewe ukitaka kumzunguka dalali, unaweza sema unataka kiwanja then yeye ataenda kukuonyesha hicho kiwanja na baada ya yeye kukuonyesha hicho kiwanja unamwambia ngoja nikafikirie then ndani ya wiki hii nitakutafuta.
Baada ya hapo we kesho yake unarudi mpaka kwenye kile kiwanja unawauliza majirani nani ni mmiliki wa hicho kiwanja utaambiwa ni fulani na anaishi wapi na utaomba namba yake ya simu kisha unampigia simu unamueleza shida yako, mtapanga jinsi ya kuonana kisha unafanya manunuzi. Utakaposhangaa ni pale mwenye kiwanja atakwambia kiwanja anauza milioni 8 wakati dalali alikwambia kinauzwa milioni 20.
NB: Tumia ujanja huo au unaofanana na huo na unaweza kuuboresha zaidi katika madalali wa kila aina waotaka pesa za bure kwa kushinda vijiweni