hahahaha mkuu kuwa kamata kware wakiwa hai inahitaji utaalam au ujanja sana ila kwa mitego mala nyingi lazima utamkuta sio hai au kafa kwa ubishi wake au kilema.
ukitaka kumpata kwale akiwa hai labda umuotee kwenye kiota chake harafu hata ukimkamata huwa wanatabia ya kujiulia mikononi mwa binadam.
hawa ndege ni waajabu sana