Jinsi Ya Kumtambua Freemanson

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Haya hapa ni maelezo ya kumtambua Mtu aliye kwenye Company au dini ya Freemanson:

1. Kila siku saa 7:00 usiku anaamka kwenda chooni kukojoa.
2. Kila akialikwa kwenye mialiko anavaa suti yeusi na tai Nyekundu
3. Anapenda sana kutabasamu tabasamu hata anapoelezwa jambo la kusikitisha
4. Kila anapoingia chooni huwa anatanguliza mguu na mkono wa kushoto.
5. Anapeda sana kuongea na watoto.
6. Kila Tarehe 12 mwezi 9 lazima asiwepo nyumbani.
7. Huwa anakuwa na majina zaidi ya moja (AKA).

Kama unamaelezo mengine unaweza kuyatoa ili tuwasaidie wasiojua.
NB: ukitaka kuwa ona kwamajina yao amka usiku saa 9:00 - 10:00 neda kakae peke yako baharini ndani ya mtumbwi na uzibe masikio utawaona na hawatakuona
 
Maelezo nimetoa ya awali kabla hata ya vtu vingine
 
Mambo ya kuamka usiku kwenda bahari siyawezi.Mama yenu nimuachie nani?
 
wakuu hivi leo juma ngap vile????
 
wakuu hivi leo juma ngap vile????
Leo ni ijumaa siku ambayo mafreemanson wote huenda kupata chakula cha usiku kweye mahoteli ambayo milango yake ya kuingilia imetazama kaskazini. Upo?
 
duh.... mfano w hoteli hizo mkuu....tafadhali
 
kama ni hivyo mwalimu wote ni ma Freemasons maana wanapenda Watoto wacha wongo hatudanganyiki! sikuhizi Bongo ukizishika unaambiwa Freemason
 
Hayo ndio maisha ya sasa na wengine wanaiga tu bila ya kujua ishara hizo zinamaana gani?
 

waislam tunafuata mafundisho ya dini yetu,tunaingia toilet kwa mguu wa kushoto!
 
huwezi kumtambua mchawi mpaka na we uwe mchawi... Utaishia kuhisihisi tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…