Jinsi ya kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa

Jinsi ya kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
56
Habarini wanajamvi.....
Leo nimependa sana kuongelea suala la tendo la ndoa kwani hasa ni wanaume wengi hawajui jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni mpaka imechangia hata wanawake walioko ndani ya ndoa kutoka nje ya ndoa na kuwasaliti wamezao hasa pindi wanapokutana na wataalamu katika hilo suala.

Zifuatazo ni njia ambazo mwanaume anaweza kutumia kuweza kumfurahisha zaidi mwanamke katika tendo la ndoa....

1. Kumuandaa mwanamke katika mudi ya kufanya tendo na hakikisha yupo tayari kufanya tendo.
Utamuandaa kwa kuhakikisha umekua mtundu kwakushishikashika na kutafuta kila "weaknespoint"ambayo ukiishika analalamika kimahaba. Hakikisha unamuandaa mpaka clitoric inakua ngumu.

2. Hakikisha ni sehemu salama ya kufanyia sex ambayo hamtapata interaction yeyote.

3. Hakikisha unakua mjuzi hasa katika lile tendo kwa kutumia uume wako hasa kwa kuingiza kwa ujuzi nikimaanisha ingiza uume huku ukiupeleka pande zote kulia kushoto. Huku ukiingiza sometym nusu na wakati mwingine ingiza yote wakati mwingine ukiongeza na kupunguza speed.

4. Hakikisha unatumia styles tofauti na usiwe static kila siku.

Jitahidi kutomzoesha style moja.

5. Mpe muda wa kupumzika pindi anapochoka na mkianza tena anza upya na usianzie ulipoishia.

Nitaendelea...................
 
Princess Somali hapo nimekukubali hela si chochote kwenye hilo suala
 
tendo la mapenzi inabidi minimum uchukue lisaa limoja! from romance to actual intercourse na 10 mins kumalizia. Kama mnaharaka. Kama ni mke wako kabisa lazima once a week ufanye ile marathon service inayo anzaga kuanzia kutoka out usiku wa ijumaa hava a good time mkirudi saa 7 au 8 ni mna doo hadi 11 unaamka tena saa 1 hivi, unaendelea nae hadi 2 na nusu unapumzika kidogo unamletea breakfast kwa kitanda, then saa 4 au 5 hivi unapiga ingine ya kusimamia kucha. Baada ya hapo unaondoka na kuendelea na shughuli zingine. Hehehe! Lazima utumiwe msgs siku nzima na ukirudi hio juma1 jioni mnapumzika tu na story za hapa na pale!
Kumridhisha mwanamke ni psychological approach as much as the physical act!
 
Back
Top Bottom