Jinsi ya kumpiga mke

Mke hapigwi kwa fimbo
Wala kwa mateke
Bali hupigwa kwa khanga.... (hapa kwa analojia, siku hizi labda kwa iphone)

aaaaaargh.... nimesahau ili shairi...
 
Mh. Mie Karucee nipigwe kwa kosa gani?
 
naona hapa mnazungumzia mke na mume tu, je kwa wale wenye girlfriend nao wanaruhusiwa kuwapiga au ndio mpaka wawaoe

piga tuuu, maana hatuna jinsi. tena girlfriend. Nafuu mke wako usimpige
 
Kwa hiyo kama wewe mwanaume unanikosea kila mara kitu hicho hicho na nikakuonya husikii nikiwa nakumudu nikakupa kichapo cha haja kesho ukatoka shavu moja limevimba halafu kisha nikakukatikia na kukupa gemu ya nguvu ni sawa? Ndo upendo huo? Unasema tu, just because someone does not do it to you do not think it doesnt hurt...!
 
Aisee siku mimi nitapigwa na mtu yeyote ndo atajua my true colours,

Utaanzaje kunipiga kwanza?

Ni kosa gani hilo lisilozungumzika mpaka uanze kunipiga kama ngoma.
 
Haswaaa kuna mambo matatu mwanaume yawe nguzoAKILI,USTAARABU,SHERIA kwa haya mbona mtu anakuwa mwelewa
 
Unafikiri kupiga ndo kunaonyesha upendo? Siwezi hata kukujibu kitu tena maana mtu anayeongea huu ushenzi wa hali ya juu inaonekana umeshaathirika kabisa kuwa mkatili.

Umeona eeeh anahitaji ushauri huyu
 
Hivi hadi umpige mtu Mzima mwenzio ni kitu gani mnashindwa kuweka Sawa?
Upendo gani jamani hadi mtoane meno?
Huyo unayempiga labda Kwa kutokuelewana au Kwa kukosea siku Naye akiamua kukufanyia hivyo utakuwa liana na hali?
Kupigana ni kupotoka na hamfanyi mtu kukupenda au kukuheshimu sana sana atakuogopa na kujenga usugu.
 
Zama hizi ni za teknolojia si vyema kupigana au kufinyana cha msingi ni kumueleza kwa aina kama mbili au tatu
1; mkalishe chini ww mwenyewe baada ya kuwa umemchapa bao moja mueleze ukweli kwa mifano hai.

2; Mtumie marafiki zake na zako kama atashindikana kwa njia ya kwanza

3; Mtumie wazazi na wazee wenye busara wamueleze uhalisia wa mambo.

4; Hadi hatua hiyo akiwa hajarekebika fuata uongozi wa dini uwaweke kitako kila mmoja atoe dukduku lake.
NOTE; Upendo ni lazima uendelee tena ikibidi uuzidishe mara dufu, na ikumbukwe mwanamke ni kama mtoto unaweza kumdanganya hata kwa zawadi kidogo na akakwelewa, hata hivyo nawe mwanaume hakikisha unasahau baya alilokutendea jana Mtafika tu.
 

Barikiwa sana Kwa Busara hii.
 

Mwanamke ameubmwa na visa na mwingi wa kujaribu. Akipenda kweli kumpiga kunaweza kusaidia lakini ikiwa ni wa visa haisaidii kitu.
 
Anayesisitiza kupiga alijifunza hayo toka kwa wazazo na walezi wake msihangaike nae sana as what goes around it comes around
 
Akizidi kumpiga mkewe akodishiwe mabaunsa watie makonzi tu ujinga huo haukubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…