Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Kwa hiyo mwanamke akienda jikoni apike kama anapikia nguruwe,Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
Hebu dadavua hapo kwenye kitandani awe vizuri...? Awe ameoga,amejipodoa,amevaa nguo nzuri,umbo la kubutia akiwa mtupu ama?Umesahau point ya 4... Na kitandani awe vizuri. Mambo muhimu hayoo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
wewe utakuwa mzungu 😀 Wabongo wa hivi wapo kweli?Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
Acha kukariri kwamba katika kila ndoa lazima mwanamke akupikie. Kuna maisha zaidi ya kupika panua akili.Kwa hiyo mwanamke akienda jikoni apike kama anapikia nguruwe,
Afanye usafi wa nyumba na vilivyomo hata mata moja kwa wiki ikiwezekana yeye asioge kabisa,
Na awe na majibu kama ya kwako kwa kuzingatia hoja zako?
Wewe umezungumza maneno yanayosimama juu ya hofu
Mleta uzi amejenga hoja ya kufanya vizuri kunakojenga uaminifu
Uko nnje ya mada au we msimbe nn?
Hehehehe tena hilo n kuntuUmesahau point ya 4... Na kitandani awe vizuri. Mambo muhimu hayoo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Mimi naweza kuwa mgeni, maana siyo mwanzilishi wa hili jukwaa, hongera yako kwa uenyeji, inabidi uwe mmoja wa wanaonielekeza cha kufanya;Acha kukariri kwamba katika kila ndoa lazima mwanamke akupikie. Kuna maisha zaidi ya kupika panua akili.
Kuna watu wanaishi kwenye nyumba ambayo inawafanyakazi wa kusafisha na kupika, siongolei hawa wadada wa kazi naongelea wafanyakazi ambao wameenda shule na ni wataalamu wa kupika. Bado watu wana michepuko.
Note: pinga hoja kwa hoja na sio kuanza kuita watu majina ya ajabu eti msimbe?!
Wastaarabu hutofautiana hoja lakini kwa maneno ya busara.
Au wewe ni mgeni hapa jukwaani.
[emoji115][emoji115] Kabisa.. Sex ni muhimu sana na ukikosea ukaoa au kuolea na mtu ambae hakuvutii kimapenzi itakua shida kua mwaminifuUmesahau point ya 4... Na kitandani awe vizuri. Mambo muhimu hayoo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
mwambie kakaSiku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
Yan ww ndugu nngekuwa cjaelewa nngeolewa kwny ukoo wenu, wanaume mnawaangaisha wanawake madukani hko kkoo wanawake wananunua vtu vya kuunga papuchi il tu mume asichepuke lkn wapi nyie mwshowe tunaishia kuumwa kansa na mume kumkosa nyie wababa tuoneeni hurumaaaSiku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
Pamoja na hayo uliyoyataja..lakini kutimiziana haja ya tendo la ndoa nalo ni muhimu sana.Hebu dadavua hapo kwenye kitandani awe vizuri...? Awe ameoga,amejipodoa,amevaa nguo nzuri,umbo la kubutia akiwa mtupu ama?