Jinsi ya kumjua msichana mwenye mapenzi ya dhati na ya kweli!

Nahtaji namna ya kumjua msichana mwenye mapenz ya dhati kwa ampendaye.

jamani da nilipotea mda mrefu sanaaa mie ndiye niliyetoa hii post
jamaniii kilichonikumba mwenzenu nyie achen mpenz wangu yule aliyetoka dar mpaka mwanza kaniacha solemba kabsaaa da kwel wanawake wa dunia hii hawaaminiki kabsaaa wa kumwamini mama mzazi tu...
 
Basi utakuwa na mtihani mgumu kweli............
Kipimo unacho mpimia ndicho atakacho kupimia.

Mpende mmoja tu nae atakupenda kweli kweli,...........
ni rahisi sana kwa wadada kujifunza kupenda kuliko wanaume.
Just fall with one.
ni vigumu kukupata mwenye maapenz ya dhati
 
jamani da nilipotea mda mrefu sanaaa mie ndiye niliyetoa hii post
jamaniii kilichonikumba mwenzenu nyie achen mpenz wangu yule aliyetoka dar mpaka mwanza kaniacha solemba kabsaaa da kwel wanawake wa dunia hii hawaaminiki kabsaaa wa kumwamini mOoama mzazi tu...[/QU
 
Usiumize kichwa sana, siku hizi haya mambo yamegeuka kamari, kuna kula na kuliwa. Endelea na huyo demu, endelea kumuamini hadi pale utakapoiona kasoro, hauwezi kumuhukumu kwa sababu hadi sasa hakuna kibaya alichokufanyia.

Tahadhari.
Makocha wengi wanakwambia ili kupunguza kushambuliwa inabidi timu yenu icheze kwa kushambulia na sio kujihami. Kuna baadhi ya wanawake akishafanya madudu yake anakuzushia tuhuma anaanza kukushambulia ili wewe uwe katika hali ya kujitetea zaidi, hivyo hutakuwa na uwezo wa kuhoji madudu ambayo anahisi utakuwa umeyajua.
Kwenye red: umehakikisha ni kweli amesikia kuwa umetembea na hao wasichana wawili? au amezusha ku-create defense mechanism? suala la dada yake pia amesema usichukulie ni sababu kuwa anachoongea ni cha ukweli, kumbuka huwa wanateteana na kutunziana siri.
Msichana akimpenda mtu ni ngumu sana kumkatia mawasiliano(kuzima simu) ghafla kwa wiki nzima bila kuhoji tuhuma. (Zingatia siku hizi wana line za simu hata nne, unless unazijua zote)

Kwenye green: kufunga safari hadi mwanza kwa ajili yako inaweza kuonyesha kuwa anakupenda(kama ni kweli humpi hela,na katumia nauli yake). Na hii ni kama tu una uhakika ni kweli hana mtu mwingine anayefahamiana nae mwanza.
Na vilevile kwenye hiyo wiki moja ya ukimya anaweza kuwa alikuwa ana test zali sehemu nyingine akaona haifai akarudi mbio kwako, utajuaje?

Unaweza ukahamisha Newton's 3rd law of motion, kwa kifupi "to every action, there is equal and contrary reaction"
Kwa kila sababu itakayokufanya uhisi anakupenda, kunaweza kuwa na sababu ya kinyume chake pia.

Cha msingi mpende na muamini demu wako bila kuhisi hakupendi, mpaka hapo utakapoona tatizo.
Ah ah nimeipenda ii post hadi Newton third law ikawekwa ni vizurii
 
Back
Top Bottom